Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo:

Mwaka juzi kuna team ilikuwa na very crucial match iringa lakini ikamuacha kocha wake mcongo dsm ili aisaidie as vita iifunge simba ili iisiende robo fainali,kule iringa wakapoteza na as vita akafungwa hata baada ya kufata ushauri wa team hiyo kwamba wasiingie vyumbani kuna sumu imepulizwa.

TP mazembe kwenye robo fainali walifatwa na hao jamaa sema waliwakatalia msaada wao wakatupiga robo fainali ila kwa mara ya kwanza tukaingiza teams 4 na hayo majinga yakafaidika.

This time same story vita vikali wamenunua jezi za wapinzani wa simba hadi wamechanganyikiwa.

Leo kilichotokea cha 3-0 afrika nzima hadi mashabiki wa kaizer chiefs wanakiri simba ni noma ukiingia kwenye page ya kazier chiefs unakuta hao jamaa wamepost video ya jamaa anavinja nazi,picha za mwaka jana simba wakiwa wanapanda ,mlima uluguru morogoro na kudai simba jana walikuwa msituni.

Video ya simba vs mbabane mwaka juzi huko swaziland baada ya simba kugundua kuna sumu vyumbani jamaa wanadai kwamba ni sumu ilipulizwa leo yaani hadi manara anaonekana wakati alikuwa msibani dodoma.

Mashabiki wa kaizer chiefs wanaaiita tanzania league ni farmers league ila simba ni kiboko basi jamaa hawa wasiobebeka wakiona hizo comments wanaingilia kati na kuongea ujinga ni aibu sana
hoegereni wachezaji mmepambana sana hatuna deni na nyie...kila la heri azam fc kukamata nafasi ya pili twende weote champions league in august.
 
Usipaniki mkuu.

Mambo ya mpira kwa Tanzania yamegeuka vita. Ni kama siasa vile, kuwa vyama vya upinzani ilikuwa ni kupishana ideas tu na mwisho wa siku watu wanakaa Bar jioni wanapiga stori wanakumbushana ya majukwaani wanacheeeeka wanagonga glasi ila siku hizi ukiwa mpinzani mtu yuko radhi akuue au akufunge jela anakupa na kesi ya kutakatisha fedha.

NI sawa na mpira tu, zamani ilikuwa washabiki wa Yanga na Simba wanaishia kwenye utani tu stori nyiiiiingi baadae wanakuwa wamoja kama waTanzania ila siku hizi mtu wa Simba anamuona Yanga kama adui kamili na vice versa

Watanzania tumepandikiziwa chuki mbaya sana, tunatafutiana sababu tu ili tuchukiane. Kama sio Simba na Yanga basi Chadema na CCM, ukipona huko unadondokea mchaga na msukuma ukipenya hapo basi ukristu na uisilamu. Mbaya sana yaani.
 
Watabisha bakuli fc
angalia hii ni mfano tu dakika chache zilizopita chama ka tweet kuhusu mechi ya leo akisikitika angali hi screen shot replies tatu za juu ni za mashabiki wa amakhosi wenyewe hawaamini wametokaje na wameondoka kwa heshima sasa angalia ya nne ya utopolo huyop yaani jamaa ni party poopers wandhani ku comment maujinga yao wanaidharaulisha simba kumbe simba kwa sasa afrika inaangaliwa jicho jingine kabisaaaaaaaa
chamaaa.PNG
 
Usipaniki mkuu.

Mambo ya mpira kwa Tanzania yamegeuka vita. Ni kama siasa vile, kuwa vyama vya upinzani ilikuwa ni kupishana ideas tu na mwisho wa siku watu wanakaa Bar jioni wanapiga...
hapana siyo kweli unapoanza kupokea team pinzani na kuwaambia kwamba hawa jamaa wanapulizia sumu vyumbani hawajui mpira kumbuka kuna siku na nyie yatawarudia maana wataambiana ukienda tanzania utakutana na hili,tembelea pages za mambo ya mpira leo hata ya kaizer chiefs yenyewe simba imesifiwa sana lakini katikati ya hizo comments bado unakuta utopolo wanapinga na kudai kulikuwa na sumu mara uchawi mara paka na english za ajabujabu, it is a shamble,nawaombea azamn washike nafasi ya pili twende nao champions league siyo wale wajingawajinga
 
Wewe upo Nchi gani? Maana sisi Watanzania wenyewe tunajua hii hali ya kawaida au umeanza kufuatilia mpira miaka ya hivi karibuni?
 
Simba ilisha elezwa,kile kipigo ni kikubwa sana na mechi ilisha kwisha sasa kwakua mbumbumbu fc wana amini katika uchawi na mdomo wa msemaji wao sasa wanatafuta mtu wa kumtwisha zigo la lawama.
 
Mkuu unaongea Kama sio mwanamichezo. Kama ninyi mlivyolaumu mechi ya awali basi ndivyo nawao wanalaumu mechi ya leo. Lakini amini usiamini kesho tu wanasahau na wanaendelea na furaha.

Kwa performance ya kaizer msimu huu kaizer Ndio timu mbovu kuliko zote. Kwa hiyo ninyi kushinda tatu sio kesi. Ndio maana watu huwa wanashauri kuwa hili pira biriyani ukimpata kibonde funga nyingi. Kuposess haina msaada kwenye mechi za mtoano.

Halafu sio vizuri kutafuta mchawi, tujipange mwakani tufanye vizuri zaidi. Mchawi ni ulevi wetu na kujiaminisha visivyowezekana
 
Kama unakuwa hujui mambo ya simba na Yanga ni vema ukakaa kimya tu. Ni mambo yaliyozoeleka kwenye mashabiki wa simba na Yanga. Mara kibao tu mashabiki wa simba walikuwa wakiwapokea wapinzani wa Yanga kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Vivyo hivyo kwa mashabiki wa Yanga kuwapokea wapinzani wa simba. Kifupi ni vitu vilivyozoeleka.
 
hapana siyo kweli unapoanza kupokea team pinzani na kuwaambia kwamba hawa jamaa wanapulizia sumu vyumbani hawajui mpira kumbuka kuna siku na nyie yatawarudia maana wataambiana ukienda tanzania utakutana na hili,tembelea pages za mambo ya mpira leo hata ya kaizer chiefs yenyewe simba imesifiwa sana lakini katikati ya hizo comments bado unakuta utopolo wanapinga na kudai kulikuwa na sumu mara uchawi mara paka na english za ajabujabu, it is a shamble,nawaombea azamn washike nafasi ya pili twende nao champions league siyo wale wajingawajinga
Hapo ulipo unaonesha unachuki unatarajianini.
Au nyani ndio aoni ile sehemu yake

Dabi ilioghairishwa hapa juzi kati Kwa sababu za kisiasa imeonyesha Timu zenyewe tu hazipendani Vipi mashabiki mutapendana?
 
Usipaniki mkuu.

Mambo ya mpira kwa Tanzania yamegeuka vita. Ni kama siasa vile, kuwa vyama vya upinzani ilikuwa ni kupishana ideas tu na mwisho wa siku watu wanakaa Bar jioni wanapiga stori wanakumbushana ya majukwaani wanacheeeeka wanagonga glasi ila siku hizi ukiwa mpinzani mtu yuko radhi akuue au akufunge jela anakupa na kesi ya kutakatisha fedha. NI sawa na mpira tu, zamani ilikuwa washabiki wa Yanga na Simba wanaishia kwenye utani tu stori nyiiiiingi baadae wanakuwa wamoja kama waTanzania ila siku hizi mtu wa Simba anamuona Yanga kama adui kamili na vice versa

Watanzania tumepandikiziwa chuki mbaya sana, tunatafutiana sababu tu ili tuchukiane. Kama sio Simba na Yanga basi Chadema na CCM, ukipona huko unadondokea mchaga na msukuma ukipenya hapo basi ukristu na uisilamu. Mbaya sana yaani.
hapana siyo kweli unapoanza kupokea team pinzani na kuwaambia kwamba hawa jamaa wanapulizia sumu vyumbani hawajui mpira kumbuka kuna siku na nyie yatawarudia maana wataambiana ukienda tanzania utakutana na hili,tembelea pages za mambo ya mpira leo hata ya kaizer chiefs yenyewe simba imesifiwa sana lakini katikati ya hizo comments bado unakuta utopolo wanapinga na kudai kulikuwa na sumu mara uchawi mara paka na english za ajabujabu, it is a shamble,nawaombea azamn washike nafasi ya pili twende nao champions league siyo wale wajingawajinga
Wewe upo Nchi gani? Maana sisi Watanzania wenyewe tunajua hii hali ya kawaida au umeanza kufuatilia mpira miaka ya hivi karibuni?
nafatilia muda sana hata mwaka 1993 wakati for the first time utopolo walipoanza huu ujinga rasmi nakumbuka sana kumbuka fainali ya CAF kombe likiwa pale shamba la bibi waliimba UZALEEEENDOO UMETUUSHIINDAAAA na leo wao ndiyo ma champions wa kupokea wapinzani na kununua majezi ya wapinzani ....ila simba ndiyo team ya kwanza kufika nusu fainlia mabingwa 1974,fainali aya caf 1993,robo fgainali 1994...na hay amengine yanayoendela plus kuingiza teams 4 twice
 
Hapo ulipo unaonesha unachuki unatarajianini.
Au nyani ndio aoni ile sehemu yake

Dabi ilioghairishwa hapa juzi kati Kwa sababu za kisiasa imeonyesha Timu zenyewe tu hazipendani Vipi mashabiki mutapendana?
waziri.PNG
muahirishaji huyu hapa,mwenyewe anasema kulikuwa na nia nzuri ya wizara kusogeza mechi mbele
 
Mkuu unaongea Kama sio mwanamichezo. Kama ninyi mlivyolaumu mechi ya awali basi ndivyo nawao wanalaumu mechi ya leo. Lakini amini usiamini kesho tu wanasahau na wanaendelea na furaha. Kwa performance ya kaizer msimu huu kaizer Ndio timu mbovu kuliko zote. Kwa hiyo ninyi kushinda tatu sio kesi. Ndio maana watu huwa wanashauri kuwa hili pira biriyani ukimpata kibonde funga nyingi. Kuposess haina msaada kwenye mechi za mtoano.

Halafu sio vizuri kutafuta mchawi, tujipange mwakani tufanye vizuri zaidi. Mchawi ni ulevi wetu na kujiaminisha visivyowezekana
aiseeee makubwa haya ,nyuzi zote week yote hii zinasema leo tunapigwa nane yamekuwa haya tena?sawa kibonde tumemshindwa lakini as vita,al ahly vipi?dah natamani kungekuwa na sheria ukibeba nchi peke yako kuingiza teams 4 uzichague mwenyewe tungewabeba hata ihefu kuliko wasaliti
 
Sawa. Ndio maana ninasema hayo ni matokeo ya mpira, halafu Ndio maana ya utani wa jadi, kosa lipo kule tulikopigwa 4-0.Kwa timu hii ya simba Ile ilikuwa ni kosa. Kwa hiyo mwakani sio mbali. Tujipange.
 
kennedy katuonyesha kwamba tunahitaji defender mwingine atakayweza kucheza namba 6 awe mrefu kama kennedy ,kanifurahisha sana leo...kudos to kennedy na nyoni safi sana we will be back wale jamaa zetu sina la kuongea kwa kweli mtoto akililia wembe mpe
 
T
Kama unakuwa hujui mambo ya simba na Yanga ni vema ukakaa kimya tu. Ni mambo yaliyozoeleka kwenye mashabiki wa simba na Yanga. Mara kibao tu mashabiki wa simba walikuwa wakiwapokea wapinzani wa Yanga kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Vivyo hivyo kwa mashabiki wa Yanga kuwapokea wapinzani wa simba. Kifupi ni vitu vilivyozoeleka.
Tukumbushe miaka ya karibuni Simba wakifanya ujinga huo...Yanga wamezidi hata Wabunge shaabiki was Yanga walikuwa wanashangilia Kaiser Tena Ndani ya Binge...ama kweli jina Lina sadifu utopolo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom