Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80.
Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10
Alipata mtoto wake wa kwanza zaidi ya miaka 46 iliyopita.
✍️ Mjanja M1
Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto.
Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
Habari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
Nawasalimu.
Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.
Msàada jamani.
Inasikitisha sanaa
Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku
Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita
Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
Habari wadau.
Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao.
Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima.
Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa!
Halafu kuna...
Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
Salaam, Shalom.
Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.
Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada. Hailazimishwi nafsi ila kwa iliwezalo.
Asidhuriwe mzazi wa kike kwa ajili ya mwanawe, na wala mzazi wa kiume...
yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz.
Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo.
Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.