Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,981
7,080
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.

Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
 
Mwanaume hauna haja ya kuogopa
Act like a Man
Be like a Man
Be a Gentleman

Kwa Sasa ni hayo mkuu yatafakari
 
Kwa nini hamuoi mama mtoto wake?
Anamuachia nani?
Akijibu haya maswali nitamshsuri Nini Cha kufanya
 
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.

Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Hakuna cha kuogopa hapo, aeleze tu ukweli.
 
Yeye ni mtu mzima.

Hakuna cha kumshauri.

Yaaani umeweza kumtongoza mwanamke na hadi mmefikia hatua ya kutaka kuoana halafu ushindwe kumwambia una mtoto.
Haingii akilini labda kama alitongozewa au huyo demu ndo alimtongoza mshkaji.

Lakini bado haingii akilini vilevile.

Mwambie aache utoto.

Halafu kama utaweza pia mwambie aachane na maswala ya NDOA.

KWANINI ASINGEMUOA MWANAMKE ALIYEZAA NAE MTOTO.

#KATAA NDOA
#NDOA NI UTAPELI
 
Kweli wanaume wamepungua sana kibongo bongo. Mwanzo wa Uzi nilijua ni mwanamke anaomba ushauri...! Hata ungekuwa na watoto 6. We mwambie tu wazi nina watoto hawa. Hataki akae pembeni.

Tatizo mnapenda mpaka kumzidi mwanamke mwenyewe,hilo kosa. Ndio maana mnapelekeshwa
 
Mwanaume hauna haja ya kuogopa
Act like a Man
Be like a Man
Be a Gentleman

Kwa Sasa ni hayo mkuu yatafakari
Hivi mtu anashindwa nini hapa hadi uombe ushauli just tell the truth kwamba mimi nina mtoto na tutatakiwa kuishi nae then mwache yeye aamue kukubali au kukataa na hana haja ya kupingana na maamuzi yeke
 
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.

Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Mwambie aache ujinga, huyo kid hana kwao zaidi ya hapo kwake, on top of that.... mtoto alipatikana kabla ya hiyo ndoano..🤨
Alafu huo sio uanaume, yaani mtoto mmoja ndio anampasua kuingia kwenye ndoa..😳 je wangekua watano kama mimi siangekufa kabla ya kuingia kwenye ndoa...🙄
 
Unamaanisha huyo mwanaume anamuogopa mwanamke hajui aseme nini kwake ndio maana anakutaka umsaidie kumtafutia ushauri..

Huyo mwanaume hajiamini, na hiyo ni dalili mbaya sana kwa mtoto wake mbele ya safari, kwani baba yake amelegea anaogopa kumwambia ukweli mwanamke aliyenaye, naona dalili hata huyo mtoto akianza kuteswa na mama wa kambo mbele ya safari huyo mwanaume hatafanya wala kusema kitu.

Mwambie aache ujinga, mwanae ndie mali yake ya thamani zaidi ya hao wanawake anaokutana nao barabarani kila siku, mwanae ndie damu yake, mwambie aache ujinga wa kuhofia chochote mbele ya maslahi ya mwanae, mwanae kwanza wanawake wote watafuatia baadae, haya yote anatakiwa kuyajua.

Baada ya hapo aende kumwambia mwanamke ukweli, akiukubali sawa, akikataa aachane nae aendelee kukea mtoto wake vizuri huku akitafuta mwanamke mwingine anayejielewa atakayemlea mtoto wake mbele ya safari.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.

Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Sasa unaficha mtoto kwa nini?

Mwanamme kuwa na mtoto na kufunga ndoa na mwanamke mwingine siyo tatizo.

Tatizo lipo kwa singo mama aliyezalishwa ila unafunga ndoa na mwanamme mwingine.
 
Unamueleza ukweli mpenzio kuwa una mtoto japo huwa hawaachi kuuliza ulimuachaje mama yake. Muambie mlizinguana na mama yake akatoka na yuko kwa msela mwingine kaolewa huko hamtarudiana tena
 
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.

Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Mwambie aoe huyo aliyezaa nae. Huu ni ujinga sasa, anazaa anamwacha mwenzie anaenda kuoa pengine alaa. Ndio maana wazee huchachamaa sana binti yao akitiwa mimba.
 
Back
Top Bottom