mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

    MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
  2. Chinga One

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa chumba cha jirani

    Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi. Au mfano akinichomolea itakuaje naombeni ushauri nife na tai shingoni au nijilipue kiunaume tu.
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

    Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye. Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

    Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza. Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Maumivu kutokana na...
  6. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba kutaka kutawala vya Mtoto

    Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka.. Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha... Katika utafutaji inaweza kuwa ajira serikali au ujasilia mali, mvutano unaanza kwa mtoto na baba (na mimi ni baba ajae) hasa wazazi wa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Njombe: Aliyeua mtoto kulipiza kisasi ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu iliyoketi Njombe, imemhukumu adhabu ya kifo, Happiness Mkolwe baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua mtoto Jackson Kiungo, ikiwa ni kulipa kisasi kwa mama yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi na na mumewe. Inaelezwa kuwa Happiness, alimteka nyara mtoto huyo wakati akitokea saluni...
  8. Zeemadeit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

    Karibu Afrika. Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu. Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema. Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
  11. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

    Habari ndugu wanajf? Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza. Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

    Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe. Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa'' Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay...
  13. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

    Ukisikia kitukuu cha mtume ndo ichoo..
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips. Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Wakuu kwema? Kama tunavyojua watoto walivyo, hawana aibu, wanafanya kile wanajisikia kwa wakati huo, japokuwa kuna wengine wananya kukukomesha. Wanajua mama/baba huwa hataki kuninunulia kitu fulani mkifika supermarket anapiga kelele duka zima wanasikia analilia mdoli😂😂. Ama unajua mtoto wako...
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea??? Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake. Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa?? Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mambo gani muhimu ya Kumfundisha Mtoto mapema kabla hajawa nunda?

    Ukiwa Mzazi bila shaka unabeba jukumu kubwa la malezi na jinsi unataka kumshape mwanao. Ni mambo gani unahakikisha mwanao anayajua mapema?
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
Back
Top Bottom