msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu

    Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A. Wito huo umetolewa na...
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

    yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz. Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
  3. JamiiForums Tanzania Yafahamu matangazo feki ya kazi na namna ya kuyaepuka

    Kupata kazi ni lengo linalohitaji jitihada na tahadhari, lakini katika ulimwengu wa leo wa mtandao, kuna hatari ya kukumbana na matangazo ya kazi feki. Kutambua ishara za matangazo haya na kujifunza jinsi ya kuepuka kushawishiwa ni muhimu kwa mafanikio ya kutafuta ajira. Matangazo ya kazi feki...
  4. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea! Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu ujenzi wa msingi

    MAKALA YA 1 Karibu katika Makala uhusio Ujenzi Majengo madogo mfano; Nyumba,maduka,Zahanati,Darsa n.k Leo tuangazie ujenzi wa msingi(foundation) wa jengo. Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu msingi 1.Ujenzi wa jengo hujumuisha sehemu kuu tatu.Ambazo ni paa,kuta na Msingi hufanya kazi zifuatazo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  7. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

    Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani. Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Rais wa Senegal ana sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ?

    Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ? Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tunahangaika sana na matokeo ya Sekondari lakini msingi mzuri unaanzia shule za msingi

    Niende tu kwenye mada salamu zenu. Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi. Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake. Nimeona...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wakiwa na taarifa sahihi kutosha kuhusu mambo muhimu katika jamii zao wanakuwa si rahisi kudanganywa na wanasiasa

    Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo. Hata hivyo, tunapopitia hali kama hiyo inapaswa kuwa wakati wa kutambua ukweli kwamba kuwa na taarifa za kutosha katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwambe Awakutanisha Viongozi wa Vyama vya Msingi Vilivyo Jimbo la Ndanda

    MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya msingi kutoka Jimbo la Ndanda wameshauri sheria ya ushirika ifanyiwe marekebishi ili kuongeza idadi ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

    Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu kuendelea na mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, asilimia 80% ya Watanzania walitaka tuendelee na...
  16. JamiiForums Tanzania Zitahamu sheria zako za msingi ukikutana na polisi usinyanyaswe fanya haya uwapo mikononi mwa polisi

    1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kipi Chanzo cha Moto Bweni la Watoto Shule ya Msingi Green Hill Pugu Kajiunge Dar es Salaam?

    Moja ya Bweni la shule ya Msingi ya green hill iliyoko Pugu Kajiungeni,Ilala Dar es Salaam liliungua moto tarehe 9.01.2024 (Siku moja naada ya kufungua shule) na baadhi ya wtoto kujeruhiwa vibaya, Hatujasikia vifo. Ila hakuna taarifa ya chanzo cha moto huo na pia taarifa kamili ya athari...
  18. JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Shule ya Msingi ya Serikali yaandikisha Wanafunzi watatu (3) kuanza Darasa la Kwanza

    Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza kitu ambacho sio kawaida. Shule hiyo ya Msingi Mlembea jumla ya idadi ya wanafunzi katika shule...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…