Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha

1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations

2.Mitindo ya malezi, maana kuna watu wanapenda malezi ya kizungu na wengine wanapenda malezi ya ukizingua ni viboko

3. Mtazamo kuhusu mikopo. maana kuna watu wanapenda kukopa na kuna watu hawapendi kukopa lazima mjuane kila mmoja yupo upande gani

4. Madeni ya nyuma mliyonayo. ni vizuri ukajua mwenza wako kama anadaiwa kiasi gani kabla hamjafunga ndoa

5. Jadilini kuhusu imani za kidini, maana mtu anaweza kuwa KKKT ila anapenda mikesha ya manabii. ili kwenye ndoa usishangae atakapokuwa anaenda mikesha hiyo. msigombane

6. Jinsi ya kushughulika na familia zenu yaani wakwe na mawifi na hata kuishi na ndugu .

7. Imani gani itawekwa kwa watoto wenu

8. Trauma za utotoni ambazo umepitia ili mwenza asikushangae kipindi una Anxiety ama uoga wa jambo fulani

9. Matarajio ya Tendo la ndoa ama sex. kama umezoea mechi kali. Sex drive yako ipo juu ni vizuri kumueleza mwenza wako mapema. Pia kama mzee wa mapenzi ni uchafu unapenda chumvini na oral sex zote. Mwenza wako akujue. maana unaweza kuwa wewe mpenda kunyonywa huku mwenza wako hapendi anaona kinyaa

10. Matarajio kwa mwenzi, vizuri ukamueleza mchumba wako kwamba una expect nini kutoka kwake kwenye ndoa

11. Matarajio ya kifedha. ni vizuri kujadili views zenu kwenye maswala ya utafutaji pesa na hata utumiaji pesa. kuna watu wanapenda simple life na kuna watu wanapenda life lenye heka heka za utumiaji pesa kuanzia harusi tu anataka ya kutrend instagram .

12. Historia ya afya ya familia zenu. msifichane hili lina umuhimu mkubwa.

13. Historia ya afya ya akili. muhimu pia kujadili hili ili mwenza wako akuelewe ajue jinsi ya kudili na wewe ukivurugwa kuepusha mauaji ama divorce

14. Orodha ya ndoto zenu. ni lazima muambiane ndoto zenu mapema. ili mwenza asishangae kipindi unafanya jambo fulani. mfano unaacha kazi Bank na kwenda kujiajiri Sokoni mwenza asipige kelele za ajabu

14. Makazi ya familia yawe wapi ? hii muhimu sana kujua base yenu itakuwa wapi.. maana isije kuwa mke anapenda kuishi dar es salaam na mume anapenda kuishi morogoro ama mwanza. ikaja leta makelele

15. Kazi na elimu zenu ni muhimu muambiane ukweli. isije kuwa mwenza anajua anaolewa na professa mtarajiwa kumbe mume huna malengo hayo ya kielimu na hata ka certificate ka amazon college huna

16. Jadilini kuhusu maoni ya kisiasa na chochote kingine kinachokuja akilini maana Upendo HAUTOSHI.
Screenshot_20240316-175927_Gallery.jpg
 
Hiyo hoja namba moja hiyo, inaweza kusababisha mahusiano hayo kuvunjika kabla ya kudiscuss.

Japo wanatupigia kelele za 50-50 ila 50 yao wanaijua wenye wanaifanyia nini. Kama umeamua kuoa oa ukijua majukumu ni yako haijalishi mwanamke anafanya kazi au laah,kama vip oa tu atakaye shinda nyumbani. Kwani mwanamke kiasilia ni mbinafsi.
 
Kweli kabisaaa mtadanganyana

Kabla ya kumpenda mtu tafuta kujua ana malengo gani katika maisha yake, ana mipango gani kuyafanisha malengo, commitment yake ikoje?

Kama mtu hajielewi hata anakotaka kwenda yeye binafsi hakuna sehemu anaweza kukupeleka Wala kukusaidia
Pale mwanzo ni kudanganyana kila mtu atasema kila mwenzake anapenda kukisikia.
 
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha

1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani,

2.Mitindo ya malezi, maana kuna watu wanapenda malezi ya kizungu na wengine wanapenda malezi ya ukizingua ni viboko

3. Mtazamo kuhusu mikopo. maana kuna watu wanapenda kukopa na kuna watu hawapendi kukopa lazima mjuane kila mmoja yupo upande gani

4. Madeni ya nyuma mliyonayo. ni vizuri ukajua mwenza wako kama anadaiwa kiasi gani kabla hamjafunga ndoa

5. Jadilini kuhusu imani za kidini, maana mtu anaweza kuwa KKKT ila anapenda mikesha ya manabii. ili kwenye ndoa usishangae atakapokuwa anaenda mikesha hiyo. msigombane

6. Jinsi ya kushughulika na familia zenu yaani wakwe na mawifi na hata kuishi na ndugu .

7. Imani gani itawekwa kwa watoto wenu

8. Trauma za utotoni ambazo umepitia ili mwenza asikushangae kipindi una Anxiety ama uoga wa jambo fulani

9. Matarajio ya Tendo la ndoa ama sex. kama umezoea kula tigo ama kuliwa tigo ni vizuri mwenza wako ajue mapema ili asishangae uwanjani

10. Matarajio kwa mwenzi, vizuri ukamueleza mchumba wako kwamba una expect nini kutoka kwake kwenye ndoa

11. Matarajio ya kifedha. ni vizuri kujadili views zenu kwenye maswala ya utafutaji pesa na hata utumiaji pesa. kuna watu wanapenda simple life na kuna watu wanapenda life lenye heka heka za utumiaji pesa kuanzia harusi tu anataka ya kutrend instagram .

12. Historia ya afya ya familia zenu. msifichane hili lina umuhimu mkubwa.

13. Historia ya afya ya akili. muhimu pia kujadili hili ili mwenza wako akuelewe ajue jinsi ya kudili na wewe ukivurugwa kuepusha mauaji ama divorce

14. Orodha ya ndoto zenu. ni lazima muambiane ndoto zenu mapema. ili mwenza asishangae kipindi unafanya jambo fulani. mfano unaacha kazi Bank na kwenda kujiajiri Sokoni mwenza asipige kelele za ajabu

14. Makazi ya familia yawe wapi ? hii muhimu sana kujua base yenu itakuwa wapi.. maana isije kuwa mke anapenda kuishi dar es salaam na mume anapenda kuishi morogoro ama mwanza. ikaja leta makelele

15. Kazi na elimu zenu ni muhimu muambiane ukweli. isije kuwa mwenza anajua anaolewa na professa mtarajiwa kumbe mume huna malengo hayo ya kielimu na hata ka certificate ka amazon college huna

16. Jadilini kuhusu maoni ya kisiasa na chochote kingine kinachokuja akilini maana Upendo HAUTOSHI.View attachment 2936439
Namba 12 na 13 ni muhimu sana
 
hayo ni majibu yako sio kila familia ipo hivyo. ndio maana nikasema m discuss mapema.

kuna watu wanaoa high value woman. mfano yule dada CEO wa NMB, ama spika wa bunge Tulia Ackson

unafikiri wake kama wale hawachangii bills za familia zao ?
Wajibu wa mwanaume haubadiliki kulingana na mke aliyemuoa. Hilo no takwa la kiimani na hata kijamii (ki-afrika). Yeye awe Spika, au awe Rais wa nchi, haifanyi mwanaume uache majukumu yako. Tekeleza wajibu, ni ngumu sana kwa mwanamke kulalamika kuwa hashirikishwi kwenye kulipa bills
 
hayo ni majibu yako sio kila familia ipo hivyo. ndio maana nikasema m discuss mapema.

kuna watu wanaoa high value woman. mfano yule dada CEO wa NMB, ama spika wa bunge Tulia Ackson

unafikiri wake kama wale hawachangii bills za familia zao ?
Tofautisha wanawake wenye kipato kuchangia na kujadili kuhusu kuchangia kabla ya ndoa.

Jukumu lako kwenye mahusiano kabla ndo ni kuhakikisha muna HISIA baina yenu hayo uliyoandika baadae yanakuja na kujiseti automatic, huyo tulia suala la kuchangia limekuja automatic baadae ya kuwa na hiasi na mmewe mmewe angejadiri before angemuona chizi na jamanaume linalool zaidi
 
Back
Top Bottom