KERO Dodoma, Ipagala B tunasumbuliwa na adha ya kujaa kwa maji majumbani msimu huu wa mvua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua.

Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka ndani na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, TARULA na mpaka zima moto kwa ajili ya kuchimba mtaro wa kuruhusu maji kupita lakini kuna baadhi ya majirani wamefukia tena mtaro na hii ni mara ya pili.

Hivi sasa navyotuma ujumbe huu maji mvua inanyesha kubwa sana na mtaro umezimbwa na maji yanaingia mpaka katika nyumba zetu
 
Unakuja mtandaon badala ya kuwafuata hao majirani zako ili mzibue mlipopaziba ? Au mnasubiri fire tena ?
 
Vp maeneo hayo mmejenga kwa mpangilio au ndiyo maskwata

Ova
 
Back
Top Bottom