Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
5,465
11,236
Habari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks

Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko

Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.

Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy

Kalaga baho!
 
Attachments

  • Screenshot_20240311-085136.png
    Screenshot_20240311-085136.png
    58.8 KB · Views: 12
Habari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks

Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko

Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.

Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy

Kalaga baho!
Kama utajenga kozi 6, utahitaji uwe na tofali 400 kwa msingi pekee. Nimeassume chumba kina 3.45mx3.75m (11.5ftx12.5ft), sebule 3.6mx4m, choo 1m×1.8m. Ukihitaji makadirio yote kuanzia msingi mpaka finishing tuwasiliane +255(0)624068809
 
Huduma hiyo itarange kias gan mkuu naomba nikucheki tuone tunafanyaje. Shukrani
 
Habari ya asubuhi wakuu?.
Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks

Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa nyumba yote ukuta huo tu ndo uwe na tofali kubwa kiasi hiko

Msingi unatrgemewa kuwa wa tofali za nchi sita. Ni vizur pia nikapata kufaham bei ya tofali hizi mpaka kufika site.

Plan ya ujenzi ni ya miaka 6 lakin msingi utaanzwa mwaka huu.
Cc. Lamomy

Kalaga baho!
Kutoka msingi hadi kuhamia 15ml. Finishing ya kisasa 25ml
 
Back
Top Bottom