Hivi karibuni, mikoa mingi ya China imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa mwaka 2021. Kwa mujibu wa kiwango cha sasa, Shanghai inaongoza kwa Yuan 2,480 kwa mwezi, sawa na dola za kimarekani 384. Kadri kima cha chini cha mshahara kinavyopanda, kipato cha wafanyakazi wenye kipato...