Wazee vipi mshahara, nataka nicheze kamari ukitoka

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,654
Reaction score
49,644
Mnijuze ukitoka, na Mimi mwenyewe nacheki mdogomdogo kwa njia ya sim banking hapa.

Hapo mia naitupia play master nacheza online slots nikipata faida mia mbili itakuwa mia tatu. Nagawa kwa walionipiga vizinga.

Inayobaki ni yangu kwaajili ya home
 
Maisha yangekuwa hivyo raha sana.
 
Back
Top Bottom