mshahara

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

    Kiukweli tarehe Kama hizi maisha huwa magumu sana unakuta hela tu ya mboga. Naomba Serikali ituwahishie mishahara angalau jahazi lisizame.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati 'wakijimwambafai' Kumsajili Djuma kwa Bilioni 1, Nahodha wa Yanga SC Beki Lamine Moro achoshwa na Deni na Kutolipwa Mshahara

    Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo: Mshahara Tsh. 500,000/= mpaka Tsh. 700,000/= inaweza kupata maximum mkopo wa Tsh. ngapi?

    Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi ngapi? Je, naweza kopa ikabaki Tsh. 100,000/= nitapata mkopo kiasi gani na nitalipa kwa muda gani? In...
  5. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

    Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa. Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu. Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
  6. HAZOLE

    JamiiForums Tanzania Malimbikizo ya mshahara 2015-2019 kwa aliyeacha kazi

    Umofia Kwenu! Wakuu mimi niliacha kazi (resign) serikalini mwaka 2019. Nimesikia malimbikizo ya nyongeza ya mshahara yatatolewa kwa 2015 kuja 2021. Je, mimi nahusika hapo kujaza na kufuatilia pale zoezi litakapoanza? Naombeni ufafanuzi kwa wajuzi
  7. intellect_reality

    JamiiForums Tanzania Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PAYE ya 1% iliyopunguzwa kwa mshahara wa basic ya laki 9.5 ni kiasi gani?

    Mwenye uzoefu wa kukokotoa kodi (PAYE) kwa hiyo 1% iliyopunguzwa ni sawa na kiasi gani tutegemee Julai? Au nipeni kikokotoo nifanye mwenyewe. Ahsanteni
  9. Mshirazi

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  10. Soma Vitabu Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia ya uhakika ya kuongeza mshahara wako

    Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako? Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani? Je mwajiri wako amekuwa hakuongezi mshahara licha ya gharama za maisha kupanda? Na je ungependa kuwa na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kushikilia shilingi kwenye mshahara wa Waziri?

    Habari wanajukwaa. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi ya Wabunge wakiwa wanachangia mijadala kadhaa pale bungeni (hasa katika bunge hili la bajeti) Mbunge anaweza kuwa ameuliza swali fulani na kutaka majibu toka serikalini na Waziri anaweza kujibu hilo swali ila Mbunge...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Kima cha chini cha mshahara kiwe 970,000

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake. Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa. Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la Mshahara inatumika formula gani, au wote tunaongezewa laki laki

    Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko vipi, tupate SoMo. Na vipi kupanda daraja, he na Mshahara utapanda Mara mbili yani ya kupandia...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kimbunga kimekuja tarehe za Mshahara

    Kimbunga tajwa kimekuja tarehe pendwa za Mshahara. Tutarajie Guest houses kujaa. #Kerege_Moja#
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kwamba mshahara ukiongezwa na inflation itatokea ni dhana inayopaswa kufikiriwa na kichaa tu

    Ninasema kuwa dhana hii ni mfu kwa sababu zifuatazo; 1. Je, kwa miaka 5 ya Magufuli bei za vifaa vya ujenzi iko palepale Kwakuwa mshahara haujaongezwa?. 2. Je, Tangu tupate uhuru mpaka sasa Marais waliopita ndio walichangia kuongezeka kwa bei za bidhaa kwa kuruhusu ongezeko la mshahara kwa...
  20. James Martin

    JamiiForums Tanzania Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
Back
Top Bottom