Mashabiki Simba turuhusiwe kumuongezea mshahara Larryy Bwalya

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,895
106,890

20200823_12350728738.jpg

Sijui analipwa bei gani kwa mwezi huyu mwamba. Najua sisi mashabiki kumuongezea mshahara ni suala gumu kulitekeleza. Ila acha tutumie kama kivumishi cha kumpa anachodtahili huyu box to box locomotive magician maestro midfilder. Akituma pasi anatuma na pasi ya kutolea

Raha kumtazama unatamani kila dakika mpira apewe yeye. Hakika Simba inaweza kuwa imetibu ule ugonjwa wa kukosa kasi kubwa ikimsakama mpinzani.

Fikiria ile mipasi ya kuvusha juu,fikiria ile mipasi inakutana na Miqsonne au Morrison,nini itakuwa kinatokea.

Agizo langu kwa strikers Bocco, Mugalu na Kagere mtendeeni haki huyu ndugu.
 
Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.

Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
 
bado tumpe Muda.

Hajafikia hata uwezo wa Bernad Morrison...let alone Emmanuel Okwi.
 
Kuwapiga wakongo waliojichokea nako anapiga pasi kweli?

Mbumbumbu bhana jilipe kwanza usije kufa njaa

Kuna hoja ya msingi katika changio lako.

Ni kweli kuwa mechi dhidi ya klabu inayoshika nafasi ya 6 kwenye ligi dhaifu kama ya Burundi bado sio kipimo sahihi cha ubora wa mchezaji. Sasa itatupasa kumngoja mpaka akipiga hizo pasi huko "Nangwanda Sijaona".
 
Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.
Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
Halafu kwa makusudi unamwacha baba wa long balls PAUL SCHORES.

Eti Paul Pogba wa JUVE.
 
Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.
Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
Unamwachaje fabregas Yule anaechipukia kuanzia 2006
 
Kuna hoja ya msingi katika changio lako.

Ni kweli kuwa mechi dhidi ya klabu inayoshika nafasi ya 6 kwenye ligi dhaifu kama ya Burundi bado sio kipimo sahihi cha ubora wa mchezaji. Sasa itatupasa kumngoja mpaka akipiga hizo pasi huko "Nangwanda Sijaona".

Wabongo mna dharau sana daaah,timu za ligi kuu si Ziko sawa tu na Hao vital O
 
Back
Top Bottom