USHAHIDI: Hii ndio nyongeza ya mshahara kwa walimu 2015-2020

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti.

Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja, nimefatilia nikabahatika kupata hati za mishahara kwa walimu watatu; mmoja wa cheti s/msingi na wawili wa digrii s/sekondari. Inaonesha kama ni madaraja basi wanapanda kwa upendeleo, na nyongeza ya mshahara vivyo hivyo.

Huyu ni mwalimu TGTS B (daraja B)ajira ya 2013, hadi mshahara wa Agost 2020, bado yupo daraja B.

Ameanza ajira akiwa na basic ya 277,000/= mwaka 2013, na hadi mwaka 2015 mwezi July kutokana na increment za kila mwaka, alikuwa na basic ya 419,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JAKAYA KIKWETE.

Kuanzia July 2015-August 2020, zimeongezeka sh. 10,000/= tu
419,000/= hadi 429,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JOHN

IMG_20200913_095422.jpg

IMG_20200913_095622.jpg

Screenshot_20200913-095814.png

Kwa upande wa walimu wa sekondari wenye digrii (TGTS D), wanadai Rais Kikwete aliwaacha na mshahara wa takribani laki saba lakini mpaka mwaka huu zimeongezeka sh. 33,000/= tu
Screenshot_20200913-100936.png

Screenshot_20200913-105259.png

Lile ongezeko lililotokana na punguzo la kodi limewanufaishwa wenye mishahara mikubwa likiwaacha hoi walimu na kada zingine zenye mishahara midogo kama vile watendaji wa vijiji
Screenshot_20200913-100140.png
 
Hapa naongelea walimu kwasababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti.

Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja, nimefatilia nikabahatika kupata hati za mishahara kwa walimu watatu; mmoja wa cheti s/msingi na wawili wa digrii s/sekondari. Inaonesha kama ni madaraja basi wanapanda kwa upendeleo, na nyongeza ya mshahara vivyo hivyo.

Huyu ni mwalimu TGTS B (daraja B)ajira ya 2013, hadi mshahara wa Agost 2020, bado yupo daraja B.

Ameanza ajira akiwa na basic ya 277,000/= mwaka 2013, na hadi mwaka 2015 mwezi July kutokana na increment za kila mwaka, alikuwa na basic ya 419,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JAKAYA KIKWETE.

Kuanzia July 2015-August 2020, zimeongezeka sh. 10,000/= tu
419,000/= hadi 429,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JOHN
View attachment 1568387

View attachment 1568385

View attachment 1568388

Kwa upande wa walimu wa sekondari wenye digrii (TGTS D), wanadai Rais Kikwete aliwaacha na mshahara wa takribani laki saba lakini mpaka mwaka huu zimeongezeka sh. 33,000/= tu
View attachment 1568390

View attachment 1568392

Lile ongezeko lililotokana na punguzo la kodi limewanufaishwa wenye mishahara mikubwa likiwaacha hoi walimu na kada zingine zenye mishahara midogo kama vile watendaji wa vijiji
View attachment 1568397
SISI WAFANYAKAZI TUMEDHULUMIWA SANA KIPINDI CHA MAGU
 
Wewe ni nani tukusikilize, Anajua mwenyewe aliyemiliki pochi na sime ya Tanzania ndio maana licha ya vilio vya wafanyakazi wengi kuhusu swala la mshahara hujawahi kusikia akilizungumzia........
 
Kifupi ni kwamba Jiwe amepewa kazi kubwa sana inayomzidi uwezo na akili yake ukichanganya roho mbaya ya kihutu ndio kabisaaa , anaona uchungu kuwaongeza watumishi mishahara utafikiri anatoa hela za mfukoni mwake au za familia yake.
 
Nimekuelewa mleta MADA, Na kila ataesoma kwa utulivu atakuelewa.
Kwamba ndani ya miaka 5 ya Magufuli,, mwezi huu wa campeni wameongezewa elfu 10,.. Hili halikubaliki. Futa, CCM ya Magufuli.
 
Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti.

View attachment 1568390

Lile ongezeko lililotokana na punguzo la kodi limewanufaishwa wenye mishahara mikubwa likiwaacha hoi walimu na kada zingine zenye mishahara midogo kama vile watendaji wa vijiji

Mkuu Hilo deni la 100Mil HESLB huyu mtu kasomea vitu gani?
au Elimu wa NYUKLIA?
 
Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti.

Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja, nimefatilia nikabahatika kupata hati za mishahara kwa walimu watatu; mmoja wa cheti s/msingi na wawili wa digrii s/sekondari. Inaonesha kama ni madaraja basi wanapanda kwa upendeleo, na nyongeza ya mshahara vivyo hivyo.

Huyu ni mwalimu TGTS B (daraja B)ajira ya 2013, hadi mshahara wa Agost 2020, bado yupo daraja B.

Ameanza ajira akiwa na basic ya 277,000/= mwaka 2013, na hadi mwaka 2015 mwezi July kutokana na increment za kila mwaka, alikuwa na basic ya 419,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JAKAYA KIKWETE.

Kuanzia July 2015-August 2020, zimeongezeka sh. 10,000/= tu
419,000/= hadi 429,000/= HONGERA ZIENDE KWA RAIS JOHN

View attachment 1568387

View attachment 1568385

View attachment 1568388

Kwa upande wa walimu wa sekondari wenye digrii (TGTS D), wanadai Rais Kikwete aliwaacha na mshahara wa takribani laki saba lakini mpaka mwaka huu zimeongezeka sh. 33,000/= tu
View attachment 1568390

View attachment 1568392

Lile ongezeko lililotokana na punguzo la kodi limewanufaishwa wenye mishahara mikubwa likiwaacha hoi walimu na kada zingine zenye mishahara midogo kama vile watendaji wa vijiji
View attachment 1568397
Hahahaa! Ingekuwa kura zinaamua matokeo basi ingekuwa tunaongea mengine
 
Kuna washenzi wanasema eti hatuelewi salary slips zetu. Eti wametuongozea mshahara ila tunalalamika tu. Ni ushenzi wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom