Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa

Back in those days CEO wa Finca Microfinance Bank alikua anaweka kibindoni 27M. Sijui kwa sasa analamba ngapi
 
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Kwa Tanzania kuvuna hizo million labda uwe katika high position kwenye makampuni ya madini, Mitandao, . But pia urubani it's possible. Ila Kwa developed country huo mshahara ni kawaida tuu
 
Back
Top Bottom