Sawa mkuuSidhani kama ni makosa,mke wangu ananizidi mshahara na mambo yote juu ya familia huwa tunashirikiana ila akitaka nguo,viatu nk lazima aniambie
Kuhusu pesa ndogo ndogo ya kusuka,mboga na chumvi nk huwa hanisumbui maana tuna biashara ambayo huwa inacover mambo kama haya
Kuhusu mkeo kukuomba pesa mvumilie ndo walivyo,ila ukitaka umiliki vizuri Huyo mkeo na hako ka mshahara kake nikushauri tu kuwa mwambie akakope ili mfungue biashara ambapo mambo madogo kama haya hatakusumbua tena,kwangu hili limefanya kazi na ndoa yangu ina afya tele.
Jitahidi sana kumkata hayo mapembe(pesa) yake hakika atakuheshimu Kupitia mikopo yenye tija
hii dhana potofu kabisaSiumemuoaaa Nijukumuu lakooo kumtimiziaaaa atajihisiii fahariii ukimpatiaaa hiyoooo pesa ataonaa anapendwaaa so mpee mfanyeee akujivuniee
Hili si neno la faraja chief🤒USIPOMPA WW ATAPEWA NA WENGINE