Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

Mstafeli

Senior Member
Joined
Dec 25, 2017
Posts
112
Reaction score
175
Jaza Yellow fields uone tofauti kati ya mshahara wako wa sasa na baada ya mapendekezo kutumika
 

Attachments

Mbona sehem ya kujaza haileti option ya namba kujaza?
 
Kwa mfano kwa mtu anaepokea 990000 itakua imeongezeka ngap?
 
Sio kila Mtanzania, bali kila mfanyakazi ambaye masihara (Tanzania bado hakuna mshahara, ni utani tu uliopo) yake yanatoka hazina
 
Sio wafanyakazi walioajiriwa, ni wafanyakazi wa umma tu. Kuna watu wameajiriwa na taasisi/asasi binafsi, wao hawahusiki hapa.
Sio kila mfanyakazi, ni wafanyakazi walioajiriwa tu.
Mimi pia nafanya kazi za kilimo ni mfanyakazi niliyejiajiri.
 
Kwamfano kwa mtu anaepokea 990000 itakua imeongezeka ngap?
Kama hii ni Basic Salary na hakuna allowance nyingine, na kama hii excel sheet ni official, huyu mtu atapata TZS. 46,150 zaidi kwenye net pay.
 
Back
Top Bottom