Wakati Dkt. Kigwangalla anagawa baiskeli kama karanga, wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mshahara miezi miwili sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.

Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt. Kigwangalla akaacha legacy kwa kutatua suala hilo kabla hajastaafu hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tanapa wataula wa chuya.

Makusanyo yote sasa yatakusanywa na TRA.

Sasa acha waisome namba.
 
Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.

Inakera
 
kuna uhusiano gani waziri kutumia pesa yake binafsi kwa matumizi aliyoamua na watumishi kukosa mishahara?
 
Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.

Inakera
Nyumba ya shetani mwendawazimu umetoka wapi huko?
 
Si ameuza gunia 1000 na gunia 500 za mpunga kwa 65000 . Mwache aendelee kugawa Mana ni pesa zake
 
Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.

Inakera
Hii ni luninga ya CCM bwashee

Nenda TBC2 ndio ya wote!
 
Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.

Inakera

Channel ten kwa sasa ni mali ya kile kikundi cha ufisadi kinachojiita ccm! mara baada ya kubadilishana na yule fisadi mwingine 'papa' ili aweze tu kumuokoa mdogo wake na 'jangili' sugu, muda mchache tu alipokamatwa na nyara zetu wakati ule.

Hivyo waache tu wajitoe ufahamu na kukiuka maadili ya kazi yao ili tu kumfurahisha bwana wao. Ndipo tulipofikia kwa sasa kama Taifa.
 
Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.

Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt. Kigwangalla akaacha legacy kwa kutatua suala hilo kabla hajastaafu hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni MTUME wa Jiwe, atarudi kuwa Waziri! Mitume waliotumwa na YESU ni Kigwa, Ndu, Mwigu
 
Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.

Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt. Kigwangalla akaacha legacy kwa kutatua suala hilo kabla hajastaafu hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!

Kwa hiyo kugawa baiskeli na mishahara ya tanapa vina uhusiano?
 
Back
Top Bottom