Mshahara wa miradi ya RUWASA

Feb 19, 2021
41
95
Vp wakuu kuhusiana na kazi za kujitolea walizotangaza RUWASA mwezi uliopita ile deadline yake iliyokuwa tarehe 26/03/2021, wameshaita watu tayari au bado?

Na vp kuhusu kazi za kujitolea huwa unatolewa japo kaposho au ndio kazi ya kanisa? Wakuu naomba ufafanuzi kidogo kwa wenye uzoefu.
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
9,125
2,000
Vp wakuu kuhusiana na kazi za kujitolea walizotangaza RUWASA mwezi uliopita ile deadline yake iliyokuwa tarehe 26/03/2021, wameshaita watu tayari au bado?

Na vp kuhusu kazi za kujitolea huwa unatolewa japo kaposho au ndio kazi ya kanisa? Wakuu naomba ufafanuzi kidogo kwa wenye uzoefu.
Bado hawajaita.....pesa ya kujikimu utapewa ila kidogo pengine laki mbili
 
Feb 19, 2021
41
95
Ndio..kwa mfano jumuiya za Kilimanjaro wanalipwa mpk laki nne coz unakuta account Ina Zaidi ya million kumi
Ila wana mpango wa kuajiri watu au just watumie nguvu kazi za watu alaf mwisho wa siku kwishnei kila mtu atajijua mwenyewe, na vp kuhusiana na watu ambao walishaajiriwa permanent pale RUWASA mfano wa wahandisi malipo yao yanakuaje?

Tujuzane wakuu kwa wale walioko huko au wenye watu wao huko, isije kuwa sometimes mtu unajitutumua kumbe kazi bure. Na wala sio maswala ya kufichana saa hv ni dunia ya utandawazi. Naomba kuwasilisha
 
Feb 19, 2021
41
95
kwa DMA yan wanaolipwa kwa wik n 56000 ukibahatika kuajiriwa starting salary 856000 inapanda kila mwaka kutokana na makusanyo yenu
Kwahiyo baada ya makato take home unaondoka nayo kama laki 6 au 5 na kitu hv, na Kwann miradi imeekezwa pesa nyingi ila malipo kwa wafanyakazi ni madogo? Au bado taasisi ni changa, maana kwa kumbukumbu yangu RUWASA imeanzishwa july 2019.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom