Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?

Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara kutokutana, yaani ule wa mwezi huu uwepo angalau kidogo pindi wa mwezi unaofuatia unapoingia.

Je, lini mara ya mwisho wewe mishahara yako imekutana?
 
Mimi wa kwangu mara nyingi unakutana. Kuna wakati mshahara mwingine unaingia unakuta uliopita sijatoa hata cent.
Sio kwamba ni tajiri😂😂 ni kwa sababu majukumu ya familia hayaniangukii mimi kiviiile.
Ulibeti vizuri😂😂 congrats Kwa Hilo, ila I guess Kuna mwamba anapasuka vibaya huko😂😂 yaani anaivia moshi
 
Back
Top Bottom