mshahara

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

    Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣 Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi CHODAWU hawajalipwa mshahara tangu Oktoba 2021

    Habari, Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021. Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa maisha. Watu wamefika umri wa kustaafu ila wamebaki ofisini kwa sababu hawajalipwa mshahara na pesa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  7. Spartacus boy

    JamiiForums Tanzania Kuongezewa Mshahara

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika nafasi moja ya kazi ilokuwa inahitaji watu sabini na kitu hivi. Katika tangazo lao la kazi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

    Huu ni ushauri tu kwa watumishi. Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  13. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

    Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya? Je, madaraja ya mishahara yakoje?
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara vya TNPSS ndio vikoje?

    viwango vya mshahara vya TNPSS B ndio vikoje najaribu kutafuta naona zingine zingine! Mzoefu anisaidie
  15. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

    Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi. Mbunge anayeona...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Salaam, Shalom! Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!! Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
  19. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Si kweli kwamba Wabunge wameongezewa mshahara

    Naungana na bunge kukanusha taarifa za Mh. Mbowe kuwa wabunge wameongezewa mshahara kutoka sh. Milioni 13 mpaka milioni 18. Kwanza tangu tupate uhuru wa nchi hii serikali haijawahi kumlipa mbunge yeyote mshahara wa milioni 13. turudi kweli mada. Jamaa wajanja wamejiongezea posho na sasa...
Back
Top Bottom