Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Kwa hicho kiasi ulichoandika cha 1.58M unaweza kuwa na Makato almost 40% ama zaidi

Mathalani, utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
 
Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!
232,350/= loan board avg.15% of BS.
154,900/= NSSF 10% of BS.
+246,230/= PAYE: after BS - NSSF .
633,480/= Makato kwa ujumla


Pesa mkononi/benki:
1,549,000/= - 633,480/= = 915, 520/=

Take home avg: 915, 520/=
Kama hakuna nyongeza ya malupulupu mengine au makato ya chama cha wafanyakazi au mambo yahusuyo misiba.

NB: BS.=Basic salary
 
Back
Top Bottom