Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

Mzee Ngonyani

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
821
1,876
Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari.

Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi Ili Watanzania tuondoke kwenye umaskini mana hiyo itakuwa njia rahisi ya kulitoa Taifa katika lindi la umaskini, sababu wanasisa na wanasayansi wetu wameshindwa.

Hi itatusaidia sisi wa kima cha chini tuweze kutimiza malengo ya kujenga na kumiliki usafiri Kwa vipato vyetu vidogo.
 
Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadirisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazin, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnao waamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi Ili Watanzania tuondoke kwenye umaskini mana hiyo itakuwa njia rahisi ya kulitoa Taifa katika Lindi la umaskini, sababu wanasisa na wanasayansi wetu wameshindwa.
Hi itatusaidia sisi wakima Cha chini tuweze kutimiza malengo ya kujenga na kumiliki usafiri Kwa vipato vyetu vidogo.
Mungu akitaka kufanya miujiza haangalii ukichonacho kaulize Yesu alifanyanye kumfanya Petro awe milionea wa samaki Tena mchana wakati wavuvi huvua usiku au uliza Mungu alifanyaje Israel wavuke bahari bila meli au kuogelea au Yesu alifanyaje kulisha maelfu bila kuweko wapishi au akina mama nitilie wa kuwakodi na kuwalipa waje na masufuria Yao kulisha maelfu

Umeelewa mpagani wewe?
 
Vituko vitupu

Hii nchi ujinga sana
 
Back
Top Bottom