Ndo nimeajiriwa kwa huu mshahara, nipeni mbinu za kufanya nitoboe ndani ya huu mwaka

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,391
Wataalam wa Darisalaam nawasalim,

Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara.

Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime.

Na kama nainvest nipeni ushauri noinvest katika biashara gani ambayo Haina risk sana kwa sisi tunafanya kazi za kuajiriwa.
Nipeni pia mbinu za kuhandle vizinga kutoka kwa wanawake,ndugu,jamaa na marafiki.

Natanguliza shukran.🙏
 
Kama mcha mungu wa kwanza nunua misosi ya 2 month .ya pili peleka nusu kwa yatima wa unapoishi wambie sio ww umeletewa na mungu wale wa chini kabisa.na wasikufate inbox kawape wahitaji chini sana wa jiran
 
Back
Top Bottom