Msaada wa program ya kuchagua UDOM

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,405
74,024
Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM

1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F

2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma

Aombe tu kozi zote ambazo atakuwa na vigezo navyo. Kwa UDOM na mchepuo wa jamaa kuna kozi kama ya Education kwenye masomo husika, kuna Biology, Chemistry na zingine… Ishu ni atulie tu na aisome prospectus kwa makini yaani asikurupuke ili apate atakachokithamini.
 
Suala si kujiunga tu na chuo; Kwani yeye anataka kuwa nani baadae?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Misitu bussiness...... anasema anapenda kusoma mambo ya misitu na nutrition. tatizo kwa pass hizo, zinamatch na requirement za admission? say UDOM, SUA, UDSM (najua ushindani ni mkubwa ka ufaulu wa mwaka huu).
Tukianzia Diploma?
 
Aombe tu kozi zote ambazo atakuwa na vigezo navyo. Kwa UDOM na mchepuo wa jamaa kuna kozi kama ya Education kwenye masomo husika, kuna Biology, Chemistry na zingine… Ishu ni atulie tu na aisome prospectus kwa makini yaani asikurupuke ili apate atakachokithamini.
Umenena busara! Tatizo wako jeshi na deadline ni 4/8
 
Arelax mkuu, hii kitu ya kurush huwa inasumbua sana wanafunzi vyuoni na wanashindwa kufanya vizuri au kudevelop career ipasavyo. Nenda nae taratibu jaribu kumsoma anahitaji kitu gani kimsaidie. Usitumie watu wamchagulie mkuu.
 
Ni vizuri pia aangalie nje ya vyuo tajwa. Udsm aiache, sua anaweza jaribu.
Tumieni admission guide , aangalie course zinazo hitaji watu wengi.
Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM

1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F

2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma

Arelax mkuu, hii kitu ya kutush huwa inasumbua sana wanafunzi vyuoni na wanashindwa kufanya vizuri au kudevelop career ipasavyo. Nenda nae taratibu jaribu kumsoma anahitaji kitu gani kimsaidie. Usitume watu wamchagulie mkuu.
perfect
 
Hivi huko jkt wanapata msada wowote kwenye hili la udahili na mikopo?
Wanapata mkuu.
Week chache zilizopita staff wa TCU walipita Ruvu JKT na kutoa shule jinsi ya kufanya udahili.
Pia staff wa CRDB nao pia walipita pale kambini na kufungua accounts za benki kwa vijana.
Enzi zetu kule Oljoro na Makuyuni kulikuwa hakuna vitu kama hivi!
 
Misitu bussiness...... anasema anapenda kusoma mambo ya misitu na nutrition. tatizo kwa pass hizo, zinamatch na requirement za admission? say UDOM, SUA, UDSM (najua ushindani ni mkubwa ka ufaulu wa mwaka huu).
Tukianzia Diploma?
Kwa ufaulu huo, minimum points 4.0 anazo katika masomo mawili - Biology & Geography kwa maana ya 2 D's.
Any way jaribu ku-down TCU - Bachelor's degree admission guidebook for 2023/24 academic year itakuongoza.
 
Attachments

  • Admission Guidebook 2023_24 (1).pdf
    2.2 MB · Views: 13
Kwa ufaulu huo, minimum points 4.0 anazo katika masomo mawili - Biology & Geography kwa maana ya 2 D's.
Any way jaribu ku-down TCU - Bachelor's degree admission guidebook for 2023/24 academic year itakuongoza.
asante sana tena sana. Lakini kwa ufulu wa mwaka huu idhani kama ana power ya kushindana. let me do my homework with this guide book.
tafadhali nisaidie tena guidebook ya SUA, Mzumbe
 
Mkuu hiyo TCU guidebook inaonyesha vyuo vyote 78 (university, college, non-university, university campus college...) vya Tanzania Bara & Visiwani - zikiwamo pia SUA & Mzumbe.
Utaona pia degree programme, entry requirements, minimum admission points, admission capacity ya chuo n.k.
Angalia kwenye post yangu iliyopita nime-download TCU guidebook.
 
Hiyo ni TCU guide book ambayo inatoa muongozo wa course zote zinazotolewa nachuo husika katika ngazi ya degree hivyo nenda katika chuo husika angalia course husika na vigezo vyake.
no pressure katika uchaguzi maana hapo ndo kuna hatma ya atakachokisoma.
fanya research usihadaike na jina la course.
chuoni kuna kozi nyingine za ajabu sana.
nakutakia utekelezaji mwema
 
Ubarikiwe sana.
 
Well well!
 
Mkuu hiyo TCU guidebook inaonyesha vyuo vyote 78 (university, college, non-university, university campus college...) vya Tanzania Bara & Visiwani - zikiwamo pia SUA & Mzumbe.
Utaona pia degree programme, entry requirements, minimum admission points, admission capacity ya chuo n.k.
Angalia kwenye post yangu iliyopita nime-download TCU guidebook.
Well said
 
asante sana rafiki mwema
 
Back
Top Bottom