Naomba msaada mshahara wangu uliositishwa uendelee kuingia

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni
 
Back
Top Bottom