wakuu salam
Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english.
Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini.
Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea.
Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi.
Nimemwambia urudi kijijini...
Habari ndugu
Nakuja hapa naomba mnisaidie
Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu
Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza
Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
MREJESHO:
Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏
Wakuu habari za wakati huu,
Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa...
Habari zenu ma Dr. natumai mu wazima wa afya.
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada, ni kwa muda wa miaka miwili na kitu sasa nimekua nikisumbuliwa na vipele ambavyo vinatokea ukeni kila nikikaribia perio, hivi vipele vinaanza kama blisters (ni sawa na vile vidonda vya homa vinavyotokeaga...
Wakuu,
Ni matumaini yangu mpo bukhery.
Naombeni msaada wenu hapa kwenye haka karamani.
Target yangu ilikua ni kutumia tofali range ya 3200-3600 ....
Sasa nimeambiwa tofali 4300 kichwa kinawaka moto.
Msaada wenu wakuu.
Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine?
-Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Bila Shaka mpo Pouwa!
Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia.
Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
Habari wadau wa JF?
UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students.
Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow.
Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya.
Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya.
Mimi naishi Mbezi...
NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili.
Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
Mimi ni muhitimu wa kada ya afya clinical officer Niliapply avn number mwaka Jana nikatumiwa , Sasa kila nikijaribu kuitumia ku apply lesseni inagoma naambiwa hii avn namba haipo nisaidieni jamani mwenye uzoefu na hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.