NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia.
Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.