msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hapa shida itakua nini

    Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
  2. JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  3. JamiiForums Tanzania Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kutumia whatsapp kwenye desktop

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima. naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili linawezekana.maana nimejaribu kutumia kwenye bluestacks 5 lakini inacrush kila...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Je Niendelee kusubiri au nikawatafute?

    Wakuu, Umri: 24 years Wasiwasi wangu, nahitaji msaada wa kimawazo kwenye mambo haya. Sijawahi kuwa na mpenzi hivyo sijawahi kufanya mapenzi, je nimechelewa au niko nje ya muda? Niliambiwa mtu sahihi atakuja kwa wakati sahihi, niliwahi kujaribu kutongoza nikakataliwa, je niendelee kumsubiri...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  9. JamiiForums Tanzania Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni. Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
  11. JamiiForums Tanzania Vifaa gani natakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani?

    Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani! Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
  12. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kutenganisha kiwanja?

    Jana nilikuwa sehemu vijana walifanikiwa kumalizana mizozo ya viwanja Sasa wamekubaliana kugawana kiwanja cha mama yao Chenye hati moja Wanataka msaada jinsi ya kutenganisha hati moja ziwe mbili, kila mtu awe na kiwanja chake Sijui wenye kupitia haya wapi wanaanzia kuweza kuwa na kila mtu na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mwanamke huyu

    Habari zenu. Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa, nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani, maana huku kuna wataalam wa mambo haya na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

    Siyo kazi zile za kulipwa kwa commission kweli hozi
  16. JamiiForums Tanzania CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

    Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua. Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
  17. JamiiForums Tanzania msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu mshahara wa PUTs

    Habari za leo wana bodi. Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi. Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani Wakuu

    Nina Google Pixel 4XL inanisumbua, sometimes inazima yenyewe ukiiwasha inaleta ujumbe "problem reading battery meter". Kwa mwenye experience na shida hiyo suluhisho lake ni lipi naomba kujuzwa 🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…