Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni.

Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania kuwasaidia kufanikisha kumpata ndugu/jamaa/baba yao KIN/CID/PE 1.68 / 2023 JALADA LA UCHUNGUZI 12.12.2023 DYB / RB / 7972 / 2023

TAARIFA

Mwenye taarifa yoyote tafadhali wasiliana kwa namba: 0713437374 au 0683520687

MWENYEZI MUNGU ABARIKI NDUGU YETU MUSA MZIBA APATIKANE AKIWA SALAMA.

IMG-20231214-WA0062.jpg
IMG-20231214-WA0061.jpg
 
Ndugu MUSA VENERABLE MZ1BA Mfanyabishara mwenye Umri wa Miaka 37 anae miliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd AMECHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA TAR: 07 DISEMBA mida Ya Saa 2 Usiku, akiwa Maeneo ya Ofisini Kwake Mikocheni.

Familia Inaomba sana Msaada Kwa Jeshi La polisi @policetanzania Kuwasaidia Kufanikisha Kumpata Ndugu/jamaa/Baba Yao KIN/CID/PE 1.68 / 2023 JALADA LA UCHUNGUZI 12.12.2023 DYB / RB / 7972 / 2023

TAARIFA

Mwenye Taarifa yoyote Tafadhali wasiliana kwa Namba: 0713437374 Au 0683520687

MWENYEZI MUNGU ABARIKI NDUGU YETU MUSA MZIBA APATIKANE AKIWA SALAMA.
@policetanzania @ikulumawasiliano

View attachment 2842686View attachment 2842687
Tangu bwana yule arudi uongozini na kupotea kwa watu kumerudi
 
1. Kampuni yake inajihusisha na shughuli gani hasa?
2. Hao watu waliokuja kumchukua walijitambulishaje? Walidai wanatoka wapi au Ofisi gani? Walipomchukua watu hao walidai wanampeleka wapi na kwa sababu zipi?
3. Wakati alipochukuliwa, Je, kulikuwa na mtu au watu wengine wowote hapo Ofisini kwake alipokuwa?
4.Je, nyinyi wanandugu mmeshajaribu kutumia "intelijesia yenu binafsi" kuwafuatilia na kuwapeleleza kwa siri marafiki zake wa karibu aliokuwa nao nyakati za mwisho kabla ndugu yenu hajachukuliwa na hao watu wasiojulikana??
 
Nimebahatika kuona clip ya mzalendo huyu kuhusiana na TRA, sio rocket science, huyu mzalendo ametekwa na TRA, na mbaya zaidi awamu hii nayo hii itakua cold case kama ya yule mzazi aliyefiwa na binti yake pale Lindi shuleni, TRA hasa HQ kuna mtu/watu wanajua mzalendo huyu yupo wapi
 
Back
Top Bottom