Msaada wa kimawazo: Je Niendelee kusubiri au nikawatafute?

Dec 13, 2023
30
106
Wakuu,
Umri: 24 years

Wasiwasi wangu, nahitaji msaada wa kimawazo kwenye mambo haya.

Sijawahi kuwa na mpenzi hivyo sijawahi kufanya mapenzi, je nimechelewa au niko nje ya muda?

Niliambiwa mtu sahihi atakuja kwa wakati sahihi, niliwahi kujaribu kutongoza nikakataliwa, je niendelee kumsubiri mtu atakaye nipenda au nitoke nikamtafute, nianze kutongoza wasichana?.

Naonekana mdogo, kama 17yrs, wasichana wa rika yangu wananidharau, hii inanifanya nakuwa mpweke, nifanyeje?

Nikiri kwamba nimewaomba msaada wa kimawazo kwa kuwaamini sana, na hakuna mtu ningeweza kumwambia haya ila kwa kutype tu kujificha nyuma ya kibodi.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mbona wenzio tumeanza kuwajua hao Wasichana/Wanawake tayari tukiwa above umri huo na hakuna madhara tulipata

Jambo la muhimu ni kuwa mashine iwe OK

Ongeza bidii kwenye masomo ili utoke na first class ili Ubahatike ajira itakayokuwezesha kumudu gharama za maisha na mahusiano (wengi hawajui kuwa kuanzisha mahusiano kwa Tanzania kuna hitaji Kipato).

Endelea kumwomba Mungu ili aendelee kukulinda na kukutunza
 
mwambie
 
Kwenye first class ili apate ajira hapo unamdanganya babu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpe ushauri mwingine
 
Anadhani akishapata Kei ya kuloweka atakuwa amemaliza kazi, hajui atatakiwa kujua bei ya pads pamoja na kuchangia gharama za kumtunza huyo mrembo wake.

Akiambiwa anunue braah 3 kwa bei ya dollar 15 moja asianze kulia lia 😜

Kibongo bongo mahusiano ni gharama kuliko gharama za kumtunza Mzazi wako huko Kijijini 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom