msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijaelewa ziwa victoria na msaada wake kwenye huduma za maji kanda ya ziwa

    katika vitu ambavyo vina nishangaza kanda ya ziwa yani unakosa maji huku ukiangalia ziwa likiwa lina maji ambayo siyo ya chunvi. kuna siku mvua ilinyesha ndio maji yaka toka yani mpaka mvua kweli.huduma za maji kanda ya ziwa ni za kusua sua tunaishi na ndoo na mapipa kwa mgao. tatizo ni nini kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa utaratibu wa kusajiliwa kama Insurance Broker

    Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari naomba msaada nawezakufanya nini au nawezapata usaidizi gani kukamilisha hili kwa haraka. Asante
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jamii health, naomba msaada

    Wataalamu naombeni kuuliza Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua??? Na pili je mama huyu akisema atumie kinga kukutana na huyo mtu ambae si mhusika nn madhara ya zile...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kusoma Mita ya maji (DUWASA)

    Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini. Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

    Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote. Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini Mikataba 4 ya Msaada wa Tsh. Trilioni 1.4

    Tanzania na Global Fund zimesaini mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na uimarishaji wa mifumo ya afya nchini. Mikataba hiyo imesainiwa Jijini Dodoma...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Suluhisho tatizo la simu kukwama (ku-stuck)

    Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
  8. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Artificial Intelligence whatsapp chat bot

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada wa AI CHAT BOT ambayo inafanya kazi WhatsApp. Chat bot ambayo unaweza kuitumia ndani ya WhatsApp kama zile chat bot ambazo ziko kule telegram, kama unajua kuunda chat bot ya AI unavyoweza kuitumia WhatsApp naombeni msaada wenu wenu wakuu ila isiwe ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia nimekuangukia mguuni, keki ya birthday yako mpe Thadei Ole Mushi uokoe uhai wake

    RAIS wangu Samia Suluhu Hassan, kwa unyenyekevu mkubwa mama yetu mpendwa, leo ni siku yako ya kuzaliwa. Keki zimekatwa kila mahali nchi nzima kukusherehekea. Hongera sana Rais Samia kwa miaka aliyokuruhusu Allah uendelee kuishi na kuvuta pumzi chini ya jua. Hiyo ni zawadi ya Mungu. Lakini mama...
  12. JamiiForums Tanzania Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

    Wataalamu, Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana. Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya. Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder. Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wakuu

    Igweee... Jamani ni wapi naweza pata hii nguo kwa hapa Tanzania? Very urgent need...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo. Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya wafanyabiashara wa nafaka za jumla

    Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

    Habari ya muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

    Waheshimiwa, habari ya kazi na pole kwa majukumu. Waheshimiwa, mwaka jana 2023, nilibahatika kupata ufadhili wa kwenda masomoni nje ya nchi hivyo nililazimika kutafuta passport. May 2023, nilifika ofisi za uhamiaji Kurasini na viambatanisho vyangu vyote kufanya ombi la passport. Nilifanikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…