Msaada wa kuverify google admob akaunti

Xiang Hao

Senior Member
Nov 19, 2016
126
97
habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza kunisaidia nahitaji msaada kwa mwenye uwezo

shukrani
 
Nenda kwenye office za sanduku la posta zilizopo karibu na wilaya yako au karibu nawe.
Kuna sanduku la posta kwa mtu binafsi na kampuni.
Nenda na kitambulisho chako cha NIDA, Mpiga kura na Barua kutoka serikali ya mtaa inayo elezea kuwa unahitaji huduma hiyo. Ambatanisha vyote kisha nenda kwenye office zao.
Gharama zao ni nafuu, maelezo mengine utapata hapo.
Haito pita wiki 1 hadi 2 utakuwa umesha pata PO BOX number yako na funguo za kisanduku chako.

Au kuna huduma yao ya PO BOX online ulikuwa unauwezo wa kupata ndani ya lisaa tu. Sijajuwa kama huduma hii Bado ipo ila unaweza pia kuwasiliana nao.
 
shukran sana mkuu
 
Back
Top Bottom