Jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu?

mtanzania10

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
271
81
Naomba kuelekezwa ni jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu yani namaanisha mpesa, airtel money au tigo pesa
 
Naomba kuelekezwa ni jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu yani namaanisha mpesa, airtel money au tigo pesa
Kuna
  • DRC (Congo), mtu akiwa ktk nchi hii ataweza kukutumia hela ikaingia kwenye mpesa, airtel money hata Tigo (sijajua kwa tigo). Anaweka hela kwenye simu yake km tunavyoweka kwenye mpesa au airtel money anakutumia na inaingia kwenye simu yako.
  • Congo Brazaville, hakuna huduma ya kifedha ambayo anaweza kukutumia hela lbd western union Ila Mpesa au Airtel money hakuna huduma hiyo
 
Back
Top Bottom