Nahitaji kusoma NIT nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3

Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na je ni vitu gani watahitaji kwa upande wangu ili kuruhusiwa kusoma

Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu kwa ufasaha ambao wana uzoefu au washawahi kupita pale

Ahsante
 
Ngoja nikusaidie kidogo ninacho kijua,..NIT wanapokea madereva tu...hivyo lazima uwe dereva..nasema hivyo kwa sababu watakupima Kuna tata pale utazikuta Sio utani utatestiwa kwanza na hizi test hufanyika Kila jumamosi ada ya test ni 20000..baada ya hapo utafuata matokeo jumatatu yake au siku inayofuatia

Ukifuzu...utalipia ada 400000 ndio utaendelea na masomo
Asante..

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
S

Shukrani sana
 
Back
Top Bottom