IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,821
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.

=======

IMF relieves EA’s indebted states with $1.9b financing deals

The International Monetary Fund (IMF) board has approved the payment of $620.65 million in budgetary support for Rwanda, Tanzania and the Democratic Republic of Congo (DRC) as part of the $1.92 billion financing commitments which the Washington-based institution agreed with six East African nations in the past six months.

The deals have come as a relief for the six countries (the others are Somalia, Burundi and Kenya), which are saddled with debts, a situation made worse by falling revenue collections, declining forex reserves and depreciating currencies.

The IMF funding, which is pegged on the implementation of key socioeconomic and governance reforms by the recipient countries, is aimed at helping them deal with the persistent budget deficits and shore up the flagging foreign exchange reserve positions.

SOURCE: The East African
 
IMF haijaanza Leo kutoa pesa za Msaada wa kibajeti,Toka zama za Nyerere Inatoa so acha stori za kufikirika.

Harafu punguza kukurupuka weka source ya habari .
 
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Je tunawezaje kujikwamua na utumwa wa madeni iwapo nchi yetu haifuati utii wa sheria? Mijizi yote imejichimbia CCM na Lucas mwashambwa anaipamba kwa nyimbo na mapambio.

Kila mwaka zinatoka hesabu za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali. Kuna wizi wa kutisha sana na hamna anaye fikishwa kortini. Kisa tu makada wanalindana na hawataki katiba mpya
 
Hakuna Nchi Imewahi endelea bila kukopa, kama unaijua itaje hapa.
 
Wewe ndiye wa kuandika hivi? Ukilaza huo
Halafu punguza shobo Mkuu.

Ukiiona Tanzania kwenye List hii ya wenye Madeni makubwa ni tag
 
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.

Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Normal
 
Back
Top Bottom