NUNEZ DIAZ
Member
- Apr 15, 2015
- 85
- 108
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
umeandika ufala kweli si bora ukae kimya tuOpen university wanasoma wale wa kujipendekeza wa kusifu na kujikombakomba kwa wakuu ili wapate vyeo wakati wakiwa makazini!
Open ngumu mnoo tofauti na ufikiriavyo, na mtaala umebadilika. Wanaodahiliwa ni 200 kwa mfano ila wanaohitimu ni watu 7. Ni miongoni mwa vyuo vigumu sana kutoboa kwa msuli wake. Nimesoma OUT tena nikiwa nimetoka FORM six moja kwa moja nikiwa bwana mdogo.Sijawahi kuifagilia Elimu ya Open ngoja wataalam waje wakupe ushauri
Aisee, Sio mbaya! Ila Open University inahitaji commitment kweli kweli.habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
ahsante sana ndugu japo umetisha aseeAisee, Sio mbaya! Ila Open University inahitaji commitment kweli kweli.
Tafuta wenzio wawili watatu wanaosoma course yako, ambao mnaweza kukutana kwa ajili ya Discussion,
Nasisitiza ni ngumu bila commitment.
Ni rahisi ukiamua.
Wanamfumo wao wa Test za Online(course work), sina uhakika kama bado zipo, na kuna MTT! hakikisha unazifanya.
Kama hujajicomitt utakuta degree ya Miaka 3 inaisoma kwa miaka 5 au 6.
All the Best
Hakuna kitisho hapo mkuu.ahsante sana ndugu japo umetisha asee