Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Shikamooni wakubwa,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au hataki kuwa na mimi.

Kuna muda nikisemaga nimkaushie nisimtafute hata kidogo huwa namuonaga kabisa anakosa amani kabisa anaonekana, ila nikimrudia tu kumuongelesha furaha yake inarudi halafu tena nkimtokea anaanza kupiga chenga hanipi jibu lile la moja kwa moja.

Nimejaribu njia labda ya kumhandle ili asione kama namrush kuwa na mimi ila bado njia zote zinagonga mwamba, kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
 
Komaa na shule...acha mapenzi utafeki dogooo
 
Zingatia masomo
 
Achana na mapenzi soma kwanza. Age of 22 unahangaika nae wa nini. Maliza shule,saka mafanikio, watajileta wenyewe
 
Mkuu Mwanamke Ukishamtongoza Hutakiwi Kusubiri Jibu Utawakosa Wengi.

Kama Ulivyofunguka Imetosha Hapo Endelea Na Mambo Mengine Kama Angekuwa Hajabali Angekwambia, Huyo Tayari Kaeleweka.

Ila Mkuu Shule Unazingatia Maana Wahenga Wanasema Elimu Ni Bahari Umeza Wasioozingatia.
 
kwani hasa ila msichana akupende inatakiwa mtu ufanyeje maana nampenda sana?
Wanawake wa siku hizi hawana upendo

Usihangaike kutafuta vipepeo

Tengeneza bustani yako vipepeo watakuja wenyewe

Elewa neno vipepeo na bustani

A woman should not feel that you are lucky to have her rather, let her know that she is lucky to have you
 
Back
Top Bottom