msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada anaejua gharama za kupima kiwanja na kuweka bikoni

    Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
  2. Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

    Habari wataalam na wenye hekima, Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki. Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu...
  3. Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  4. R

    Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  5. Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  6. Msaada: Whatsap wamenilog out namba yangu bila kosa

    Wakuu habari Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out) Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap. Nashangaa tatizo ni nini? Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo. Kuna watu wamenireport vibaya ama? Too...
  7. Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  8. C

    Msaada wa connection CRDB Bank kwa anayeweza nisaidia

    Ni majuzi hapa nimeomba MKOPO wa CRDB kwenye biashara wakahitaji vielelezo vyote nikawapa. Dhamana ipo (nyumba) iliyopo 25km tokea High Way, wakaenda itembelea dhamana wakajitidhisha ila wakaniambia POLICY yao haiwaruhusu kukopesha dhamana iliyo mbali kiasi hicho. Wakaniambia kwamba nitafute...
  9. Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
  10. N

    Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  11. Kuna uwezekano uka-block baadhi ya watu katika Group la WhatsApp ili usione msg zao?

    Hivi kuna uwezekano ukiwa katika Group la WhatsApp uka-block baadhi ya watu ili usione msg zao? Kwenye magroup kuna baadhi ya member msg zao zinakera.
  12. H

    Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  13. Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote. Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika. Nipo Dar Es salaam...
  14. Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  15. msaada tv yangu imeungua kifaa hiki

    Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo...
  16. Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  17. Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii

    Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii: Nyumba ina: Upana wa 15.5m Urefu wa 10m Bati za mita tatu Style ya bati sio za kwenda juu kama za siku hizi. Mfano wa urefu na style ni kama hii. Njuka II
  18. Y

    Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la mkopo

    Mwaka jana niliapply chuo cha RUCU Iringa na nikapewa mkopo ila kutokana na sababu mbalimbali sikuweza kuripot chuo hicho. Mwaka huu nmeapply chuo kingine je kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo hiki nilichopo sasa?
  19. Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  20. Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Hello JF Members, I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi. Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…