msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  2. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

    Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  4. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Hello naomba msaada

    Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate . Maana hapatikani kwenye simu. Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada...
  5. M12

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria. Nilivamiwa, nikajeruhi

    Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu aliyenivamia ndiye aliyeumia sana, kesi sahivi ipo mahakamani, nafanyaje kutoka kwenye hii kesi.
  6. lumumbanew

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

    Habarini wajuvi. Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5. Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe. Natanguliza shukurani.
  7. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu anayefanya kazi NIDA Arusha

    Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa. Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama kuna mtu anayefanya kazi ofisi za NIDA Arusha (Especially ofisi za Kisongo) ili nimuombe anisaidie...
  8. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufuata ukitaka kuanzisha App Tanzania?

    Habari. Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store. Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata? Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk? Au unaanzisha kwanza kisha ndio unaenda kufuata utaratibu wa kiserikali? Je kwa Tanzania ni...
  9. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
  10. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
  11. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Msaada kozi ya ICT

    Wakuu naomba kujuzwa kama kuna chuo cha serikali kilichopo Mbeya kinachotoa kozi ya ICT kwa level ya certificate.Ahsante
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada presha 158/100 pr 57 nifanyaje kushusha presha

    Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Habari, Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana. Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu. NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢 NAUMIA SANA...
  16. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Wakuu naombeni msaada wenu wa kimawazo kwenye hili. Mimi ni mwalimu wa physics na chemistry ila sijabahatika kupata ajira serikalini, sasa kuna shule mbili nafundisha let say shule X na shule Y. Shule X nalipwa laki tatu, wakati shule Y nalipwa 250,000/= Shida inapokuja shule Y wanao nilipa...
  17. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania MSAADA NIMEFUTA NAMBA YA SIMU LAKINI WHATSAPP IMEGOMA KUFUTIKA

    Kuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma naombeni msaada shida itakua wapi.
  18. MAKOLE

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya anal fissure (msaada)

    Nasumbuliwa na tatizo linalojulikana kama ANAL FISSURE, Naomba wataalam mniambie tiba yake tafadhali
  19. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Sina cha kuandika JF msaada nihudhurie shule gani?

    Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
  20. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani?

    Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
Back
Top Bottom