Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata...
Wadau salam.
Nahitaji kununua line ya kuuzia bando (HALOTEL)
Nauliza je process zipi nifuate ili nikibadli umiliki (NIDA) line usipoteze sifa ya kuuza bando?
Habari wadau,
Natumaini mnaendelea vizuri. Niko Morogoro, "mkoa wa vyakula vyuo na seminar", na tunaendelea vizuri. Kwa waislamu ni siku ya ibada, kwa wasabato ya maandalizi na wengine wanapanga kesha (Furahiday). Kazi iendelee...
Kipindi hiki ni cha research na presentations. Natumaini...
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo
1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda...
Video ya TikTok ya mtoto mwenye umri wa miaka mitano, Musa Kihara, anayejulikana kama mtoto wa “Kwa Mbae,” imegeuka kuwa chanzo cha msaada mkubwa baada ya Wakenya kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kajiunduthi, Kaunti ya Tharaka Nithi, kusaidia familia yake.
Video hiyo iliyosambaa...
Taasisi za mikopo ya mauzo nje za Sweden (Sweden’s export-credit institutions) zinatarajiwa kukamilisha makubaliano ya ufadhili kwa sehemu za tatu na nne (Lots 3 na 4) za reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) Aprili 28 jijini Dodoma. Hatua hii inaelezwa na pande zote kama hatua muhimu...
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu
Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu.
Anapenda sana kwenda kwao, kila siku...
Habari wapendwa?
Je una freezer ambayo huitumii? Au unaweza kunisaidia nipate freezer? Ninaomba unisaidie. Hata kama ni kwa kununua uwezo wangu utakuwa kulipa kwa awamu maana kipindi hiki nimekuwa na Mambo flani yameingilia.
Watu wa Mungu Mimi ni mwanamke mjasiriamali wa vinywaji ( juices)...
Wanaukumbi.
BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥
🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada"
Ukweli wa Kufurahisha:
🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada
🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada
🇪🇸...
Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana.
Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
Habari za zenu wana JF,
Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi.
Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo.
Shida...
My Take
Wakaombe Kwa Beberu USA wanakoshoboka huku wakisifiwa na desperate and useless Chadema fans 😂😂👇👇
Kiukweli Uganda wamejua kunifurahisha.
Tanzania ya Samia tuna Akiba ya miezi 3 na matenki yakikamilika tutakuwa na Akiba ya mwaka mzima.
-----
Uganda 🇺🇬 has turned down Kenya’s 🇰🇪 request...
Salaam!
Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana.
Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya...
Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash
nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash
Note
Simu haisomi kabisa ina...
Habari ndugu wana JF
Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania.
Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja wa urology baada nae pia kunifanyia vipimo nakugundua Sina tatizo lolote Zaid ya tatizo la hormones...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.