Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

A.J

Senior Member
Jun 9, 2015
138
146
Habari zenu,

Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia sana akatishia kuniacha na kunipa malaana kibao kama kweli namsaliti na nipo na huyo bidada mwengine.

Nikagombana na huyu mpenzi niliekutana nae kipindi hiki ila baada ya muda tukaanza tena kuendeleza mapenzi. Ishu inakuja ninapolala na huyu mpenzi wangu wa sasa hivi. Wakuu ninampenda na nina hisia nae lakini tatizo linakuja sisimamishi, uume hausimami nikiwa na huyu side chick yaani hata nifanye nini ukisimama napiga moja tuu tena kwa uzembe uzembe yaani dk 3 tu.

Lakini kwa yule main chick naenda muda mrefu na namfikisha kileleni mara zote tukikutana. Msaada jamani kwanini hali hii inatokea na nifanye nini kuondokana nayo. Huyu manzi mpya anahisi kamati ya ufundi imekaa.

Siamini sana hilo.
 
LadyAJ,
Ah Lady sio kama sina uwezo, kwa zaman na-perform fresh bila shida, tatizo lipo huku kwengine. Nauliza now au hukunipenda huna hisia na mimi. Simfuati mwanamke na kumvua nguo bila kumpenda. Nimempenda pasi na mashaka.
 
Leo cku ya tatu najitibu hilo tatizo hatari sana ila niko poa saiv. Wanawake wa kuokota hovyo hawa alafu unampa ahadi nyingi sio vizur kabisa, wengine wanamikoba ya bibi zao wanakukomesha,
Natamani niamini hivyo lakini dah nafsi inaniambia hapana kutokana na mazingira ya huyo mwanamke na mambo ya ushirikina yuko nayo tofauti sana.
 
LadyAJ,
Ah Lady sio kama sina uwezo, kwa zaman na-perform fresh bila shida, tatizo lipo huku kwengine. Nauliza now au hukunipenda huna hisia na mimi. Simfuati mwanamke na kumvua nguo bila kumpenda. Nimempenda pasi na mashaka.
Uwezo wa mwanaume haupo mdomoni kaka kama mwanamke analalamika Basi jua uwezo huna na yaweza kuwa hata yule wako wa siku zote anakuvumilia tu sababu ataenda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani niamini hivyo lakini dah nafsi inaniambia hapana kutokana na mazingira ya huyo mwanamke na mambo ya ushirikina yuko nayo tofauti sana.
kwan unafikiri mshirikina unamjua..au mtu akitaka kukufanyia ubaya anakua na alama gan uson? Yan wabaya huwez kuwadhania kabisa..yan huwez hata kidogo nakumbuka nilishakuwa mtoto mmoja mkal kinoma..dini imelala kwake ana elimu nzuri alafu mrembo balaa...cku namvua nguo nakuta ana chale za waganga kila pembe...ndio nikajua haya mambo ni mapana sana kila mtu anayafanya anavyojua yeye .kwahiyo saiv mm najiamin mwenyew tu sio mtu yyte mwingne
 
Uwezo wa mwanaume haupo mdomoni kaka kama mwanamke analalamika Basi jua uwezo huna na yaweza kuwa hata yule wako wa siku zote anakuvumilia tu sababu ataenda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
😄hapana mkuu hapo kwenye uwezo nakataa, nikiwa kitandani nahakikisha mwanamke karidhika na mimi ndio namaliza. Sio promo, Huyu nilienaye tuu ananiita Dokta, naelewa mwanamke anataka nini kitandani. Nimeblock wanawake zaid ya wawili wanaotaka turudiane na kukumbushia good times we had, mi ni kijana nina mambo mengi ila, sijawah kuwa na mahusiano na wawil kwa pamoja hii imetokea sasa hivi.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom