Mimi ni mhamiaji hapa Mbeya! Nimepapenda na ningependa kujenga japo kajumba kakuishi ila tatizo ni viwanja vya kupimwa bado ni tatizo! Ninafikiria kununua shamba halafu baada ya kukamilisha ununuzi niwafuate ardhi ili waje wanipimie!
Ninaomba ushauri wa kisheria kuhusu jambo hili. Je linakubalika au ndiyo gharama zaidi msaada wenu wadau!! Au kama watu wa ardhi wamo humu ninaomba ushauri!!
Ninaomba ushauri wa kisheria kuhusu jambo hili. Je linakubalika au ndiyo gharama zaidi msaada wenu wadau!! Au kama watu wa ardhi wamo humu ninaomba ushauri!!