Tafadhali wadau za jioni?
Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu.
Asante.
Jamani hodi!
Wanajamvi sote tunafahamu hali ya uchumi ilivyo. Nisaidieni mawazo nimetapeliwa, ilikuwa hivi:
Kuna dogo tuliongea biashara ya dagaa, akaniambia dagaa wanalipa ila mtaji tu ndio hana. Basi mimi nikamtathmini nikamuona ni dogo fighter, nikaona nishirikiane nae kwa masharti nafuu...
Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Habarini wanajanvi,
Mwanangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya secondary Morogoro. Natamani nimuhamishe kumpeleka shule ya secondary ya boarding ya serikali yenye ufaulu mzuri ambayo wanaweza kumconsider kulingana na ufaulu wake wa Std 7. Kuhusu Ufaulu wake ni kama...
Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati.
Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert.
Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo...
Habari jamani
Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee.
SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
Ni kwanini mwanaume yoyote yule akiwa ameshamtongoza mwanamke na wameshakubaliana kwenda iwe ni ghetoni kwa mwanaume au Gesti kama siyo Loji basi lazima tu mwanaume ndiyo atakuwa anaongoza msafara (anatangulia mbele) muda wote.
Lakini, baadaye wakishamaliza 'Uzinifu' wao hilo jambo hubadilika...
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki.
Ameeandika vitabu vinavyo husu maswala mbalimbali kama vile upigaji wa kinandaupigaji wa gitaa n.k
Nimevitafuta sana hivyo vitabu...
wakubwa poleni na majukumu nimekutana na shida moja nina simu moja ya kichina
( huawei honor 10 lite) najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali mwenye ufaham
Kusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.
Najaribu kufanya application kwa ajili ya ndugu yangu nafasi ya kazi ninayoapply PSRS lakini alikuwa na Qualification zaidi ya hizo zilizohitajika, nimepunguza wee lakini bado inagoma, ndugu zangu nyie mna ujuzi na hii system kuliko Mimi nijuzeni tatzo nini .wengine hatujawahi kuitumia hii na...
Mimi ni mfanyakazi wakati naajiriwa taarifa zangu nilijaza kwa usahihi katika mkataba wangu wa Ajira na stahiki zangu Kama likizo nilikuwa nalipwa kulingana na taarifa zilizopo katika mkataba wangu lakini baada ya miaka mitano mbele nililetewa document ambayo inaitwa "personal record form"...
Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka?
Karibuni wadau.
Umoja wa Mataifa umesema mmoja kati ya watu 45 duniani ambao ni sawa na milioni 168, watahitaji msaada wa kibinadamu ifikapo mwaka 2020.
Kwa mujibu wa ripoti ya umoja huo idadi ya watu wanaohitaji msaada imeongezeka hadi milioni 22 katika kipindi cha mwaka uliopita kutokana na migogoro na...
Habari za jioni wakuu,
Nilikua naomba ushauri kuhusu model gani nzuri ya scania mende kwa matumizi ya kazi za ujenzi kama kubeba kifusi, kokoto na mchanga.. nimekua nikitumia scania 114 - 340 kwa miaka kama 8 sasa ni nzuri na haijanisumbua. Nina uhitaji wa kuagiza ingine. Lakini matoleo ya 114...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.