Naombeni msaada kwenye hili

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Nduguzanguni
Me nimetokea kumpenda demu mmoja ambaye ana rafiki yake wa kike anaitwa nasra.wote wawili ni shombe shombe tatizo linakuja moja nasra ana nipenda Sana me simpendi ila ninampenda rafiki yake na ili kupata number yake au kujua anapokaa Sina other way zaidi ya kupitia nasra nimejaribu kufikiria nimeshindwa kupata gia ya kuingia kwa nasra kupata hivyo vyote bila yeye kujua kwamba ninampenda rafiki yake so naombeni msaada mabaria lakini sio mbaya kama nikapata pia maoni ya wanawake wa humu jamvini.

ANGALIZO: Tuwe serious jamani kwenye hili
 
Nipe namba ya nasra , then akinikubalia mimi siku nakutambulisha kama shemeji kwake, apo nitamwambia aikunganishie au ata nikiwa na simu yake ntachukua namba a huyu umpendae nikupe.

Mambo maxuri hayataki haraka,
Wazo zuri
 
Hujui kazi ya hela? Emu iambie wallet yako ikuelekeze
Issue sio hela issue gia ipi nitaingia ili kumpa rafiki wa nasra ikiwa nasra ame fall in love with me hapo ndo msaada ninaohuitaji maana siwez kupata number yake bila kupitia nasra.
 
Twisted story,
Una date na Nasra, umemtamani rafiki yake Nasra ambaye ni shombe shombe, unashindwa kupata mawasiliano sababu lazima yapitie kwa Nasra.....

Me; Try Social Media trick, simple and easy but if you get caught take me out of your mess.
 
Twisted story,
Una date na Nasra, umemtamani rafiki yake Nasra ambaye ni shombe shombe, unashindwa kupata mawasiliano sababu lazima yapitie kwa Nasra.....

Me; Try Social Media trick, simple and easy but if you get caught take me out of your mess.
Wewe ujaelewa Sina uhusiano wa mapenzi na nasra sema nasra ananitaka kimapenzi ingawa me moyo wangu haupo kwake me namtaka rafiki yake na rafiki yake Sina number ya simu nasijui ana kaa wapi kiufupi sijui details zake so only way ya kupata ni kwa nasra
 
Back
Top Bottom