Natafuta kazi. Tafadhali naomba Msaada kwa hili

Natafuta kazi. Tafadhali naomba Msaada kwa hili

Ndio, nilifanikiwa kufanya savings kiasi japo kiugumuugumu.
Jiajiri.
1)unaweza kuwa supply maji kwa kununua kiwandani soda au hata juice..

2)tafuta sehem penye muingliano wa watu fungua biashara ya matunda
3)nenda uswaz kaweke genge(wauza nyanya, vitunguu,viazi, chumvi, karot n.k

Baada ya mwaka utanunua kila unachotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri kama huu vijana huuchukulia kama utani lakini kusema ukweli maisha maxuri yako hapa,mimi ndyo najua but kijana aufanyie kazi
Jiajiri kwenye kilimo mkuu,ndio sifa pekee ambayo huna na ndio sifa inayomtoa kila mtu wa chini bila upendeleo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom