Msaada tafadhari nataka kujua utaratibu wa kuingiza mnyama toka nchi jirani

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,561
13,274
Tafadhali wadau za jioni?

Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu.

Asante.
 
Mi sijui ndugu, wanaojua wako busy na majukwaa mengine sasa wewe jitoe ufahamu peleka kule MMU
 
Kuna utaratibu wa kujaza fomu flani zinazotolewa na wizara inyo husiana na Kilimo/mifugo nenda kama upo Dar nenda pale Veterinary Temeke karibu na TAZARA.
Utapata msaada husika, au nenda kwenye website ya wizara utapata fomu na taratibu za kufanya.
 
Back
Top Bottom