msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada WordPress, nimekwama

    Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima. Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia. Nimeangalia baadhi ya free themes...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuwafukuza wapangaji wasumbufu na wachafu kwenye nyumba yangu

    Jamani naomba msaada niwafukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu. 1. Mmoja hajalipa kodi miezi mitano 2. Wapili hajalipa miezi miwili 3. Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi. Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimi great thinker mwenzenu naionea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani: Ni taasisi ipi ya mikopo kwa Dar naweza kupata mkopo wa 400,000 kwa leo?

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mwajiri kupunguza mshahara wa wafanyakazi bila majadiliano kipindi cha Corona. Sheria inasemaje?

    Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
  6. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kudownload Movie na Series za Kifilipino

    Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino. Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mmekwaruzana na mtu ila bado unamkumbuka, hii ni nini ?

    Hivi mmekwaruzana na mtu ila bado unamkumbuka hii nini ? Kwa maana hata kusemeshana hakuna ila mawazoni yupo kama nini? Kumtoa hakuna kila saa yupo mawazoni na hii nini?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Matendo ya huyu dada yalinikata stimu za wanawake

    Corona is real, tusichukulie poa! Nilitambulishwa naye na rafiki yangu wa muda mrefu sana, naye ni wa kike. Rafiki yangu huyo akaniomba nimpeleke kwenye kiwanja fulani akakutane na baharia fulani. Katikati ya Safari nikawa nasikia akiongea na mpenzi wake. Mahaba ya kwenye simu kama yote...
  9. JamiiForums Tanzania IMF yazisamehe madeni nchi 25 kama hatua ya kuzisaidia katika juhudi za kupambana na Covid-19. Yatabiri mdororo mkubwa wa Kiuchumi duniani

    IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement: “Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia rahisi na za haraka za kupunguza marafiki

    Hi. Naombeni mnipe mbinu ya haraka na rahisi nitakayoitumia kupunguza marafiki nilio nao. Nina marafiki wengi "mashosti" karibu kila mtaa wengine ni marafiki tangu shule ya msingi. Kwa sasa sijisikii kuwa na marafiki wengi namna hiyo lakini kila nikijaribu kuwakwepa wapo tuu. Nimejaribu kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

    Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19. Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi. Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria namna ya kuwagawia watoto urithi wao nikiwa bado hai!

    Nawaomba wanajf mnielimishe namna nzuri na ya kisheria ya kuwarithisha watoto mali zangu! Pia sheria inasemaje juu ya umiliki wa mke hasa kwa Mali alizomkuta Nazo mume wake?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

    Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

    Habari zenu humu, Juzi nilikuwa natoka Dar es salaam na gari aina ya Toyota Porte, nikatoka vizuri Dar es salaam tulipofika Manyoni gari ikachemsha, tukaenda kwa fundi akafungua injini akasema gasket zimeungua na tena cylinder head imepinda, sasa ikarekebishwa pale ikakaa vizuri, Tukiwa njian...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Habari wakuu, Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19. Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu. Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Msaada hp laptop inasumbua their three issues to be solved

    Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop 1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua 2. Microsoft office app zangu ikifungua...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii twitter ya Kiyosaki

  18. JamiiForums Tanzania Uingereza kukosa msaada wa kupambana na Corona kutokana na kujitoa Umoja wa Ulaya

    MIEZI miwili tangu Uingereza ilipotangaza rasmi kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), tayari imeanza kuonja machungu ya kujitoa katika umoja huo, baada ya kukosa fursa ya kupata msaada wa kupambana na majanga katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo imekubwa na janga la homa kali ya mapafu...
  19. JamiiForums Tanzania Noamba ushauri kuhusu suala hili la oil ya gari yangu

    Jamani me natumia gari inaitwa nissan teana 230 na oil ambayo huwa natumia ni 5w40. Sasa juzi nimeenda kuchange oil fundi anasema nakosea kutumia 5w40 bcoz ni nyepesi sana and natakiwa kutumia Sae 40 hiyo ndio inafaa. Na niligoogle injini oil kwa Nissan teana Nikapata majibu kuwa 5w40 ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China Tanzania na Barrick (Kampuni ya Twiga) zatoa misaada kwa Serikali kusaidia kupambana na Corona

    Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…