Kuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye...