Msaada wa udahili wa masomo nje ya nchi

Ma-chemist

Member
May 11, 2020
36
14
Habari za muda Wana jukwaa,

Mimi ni mwanafuzii nilie hitimu kidato Cha sita mwaka Jana lkn wakati wa udahili nikipata chuo kikuu Cha Ardhii University lakini mm ndoto zangu n kwenda kusoma nje ya nchi yaan scholarship lakin sikufanikiwa kwa mwaka jana kwa vile sikuwa najua utaratibu wake lakin mwaka huu ni matumain yangu baada ya covid19 scholarship kwa bancherol degree zitakuwepo naombeni msaada mwenye links hizo harama za maisha nje ya nchi hasa kwa course ya Artcheture engineer au microbiology

Asanteni.
 
Architecture

Subiri wenye kujua huenda wakaja, au waweza tafuta nyuzi zinazohusu mada yako, najua haiwezi kukosekana humu
 
Unajichanganya sana yaani mwaka Jana ulikuwa hufahamu utaratibu na mwaka huu bado hujaufahamu utaratibu!! Haupo serious scholarship hazipatikani kama njugu zinahitaji maandalizi makubwa.

Unaonekana mvivu sana yani ata kujua garama za ada hujui wakati vitu vyote viko wazi ni wewe tu una search labda UK,USA, India, Turkey, German, Austria, Canada..... universities zinazo offer hiyo course unaingia kwa web yao unajua kila kitu mpaka no za simu zipo. OK fanyia kazi

Baada ya covid ama ndege kuanza safari za kimataifa watakaoenda kusoma mwaka huu maombi mengi deadline ilikuwa February 2020 therefore majibu ya watakaopata scholarship kwa kusoma mwaka huu hutoka kuanzia mwezi wa 6-7 na vyuo hufunguliwa kuanzia mwezi wa 8-10 mwanzoni hii ni ratiba almost kwa Dunia yote.

Ushauri vyuo vinavyotoa iyo course yako ni vingi na scholarship nyingi kwa ajili ya kwenda shule 2021 zitaanza mwezi wa 8/2020 mpaka January 2021 jipange tembelea www.moe.go.tz angalia scholarship zilizotangazwa mwaka Jana tokea mwezi 8-January 2020 huwa ni kama cycle ata mwaka huu zitatangazwa tena hizi za wizara ni za uhakika 100% hugaramiki chochote kuanzia ticket tuition fee stipend allowance health, research it cover everything sometimes for PhD it cover up to 3 Dependants.

Pia unaweza kutafuta randomly kwenye mabalozi za nchi husika na kutumia Google. Best of Lucky.

Sorry nimeandika kwa hasira kwa sababu unaonyesha uhitaji lakini hujaonyesha juhudi zozote ulizofanya mpaka muda huu. Unandoto nzuri na kubwa kwa umri wako ongeza tu juhudi pambana kwa nguvu zaidi hakika utapata
 
Nashukuru Sana Kaka mkubwa wangu
 
Back
Top Bottom