msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji?

    Wakuu poleni na majukumu. Niende kwenye mada, nahitaji kufahamu kama ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji? Asanten!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hapa kwenye tv

    Nimenunua star x tv lakini nikiunga redio hailii bass, inalia speaker za pembeni tu, nimeangalia kwenye setting za tv nikakuta trebble na bass ziko blinked yaani hazioneshi kufanya kazi Mwenye anajua nafanyaje msaada tafadhali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada wa haraka sijasubmit maombi yangu ya otes

    Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili

    Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu polisi kuomba msaada. Hatua hiyo ya polisi imechochea ghadhabu kutokana na kuwa mwendelezo wa matukio...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Home Theatre yangu spika ndogo mbili hazitoi sauti!

    Habarini wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000. Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki uliimba speaker ndogo zote nne ndaefu, ila kuanzia nadhani kesho yake sauti zikakata mbili zikabaki...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uelewa na sauti ya huyu ndege naomba anijuze ni sauti ya ndege gani hii

    Ndege huyu hulia usiku tu mbele ya nyumba nayoishi, haswa usiku wa manane kama huu. Nimejiaribu kutoka nje kumuangalia lakini simuoni zaidi ya kuona macho yake yanang'aa nikimmulika mwanga wa tochi usawa wa sauti inakotokea. Macho yake yanakuwa mfano wa picha hiyo nikimmulika
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Je, Kuna uwezekano wa kupata 3G au H+ kwa njia mbadala?

    Kwa anejua tu, Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye internet tu. Network speed ni Edge tu (E) kwa mitandao ya Vodacom na Halotel. Naomba kujuzwa kama...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada ninashida ya infection kwenye sikio ndugu zangu

    Habarini wana jf nimatumaini yangu mu wazima nimeona niingilie huu uzi maana namm nina tatizo la infection kwenye sikio. Lilianza nikiwa Dar nikaenda pale Ekenywa akanicheki dr akaniambia inabidi ni hudhurie clinic pale kwa week sita ikianza siku niliyo enda sasa shida ikaja mm nashughuli zangu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Interview ya Customer Service Officers TANESCO

    Habari za asubuhi wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya CUSTOMER SERVICE OFFICERS. Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuapply chuo

    Habari wanajamvi poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani naomba ushauri nilipangiwa certificate mwaka Jana lakini nilisoma semester moja ya pili sikuweza kumalizia ada kwaiyo sikuisoma. je naweza apply September intake ya mwaka huu? Naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu.
  15. JamiiForums Tanzania Kama unaweza kunisaidia kupata kazi Serikalini msaada wako tafadhali

    Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini Elimu yangu ni: Degree ya ICT Jinsia: Kiume Umri: 29 Uzoefu kazini: 4 Years. Uzoefu katika mambo yafuatayo: 1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

    Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA, Ñahitaji power invetor

    Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar. Mawasiliano 0769616581
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata kibarua cha kuniwezesha kupata angalau Tshs 7000 kwa siku?

    Salam wakuu, Naombeni msaada mimi nina shida ya kama laki 3 ila naomba kulekezwa sehemu ambapo naweza ni kapata kibarua cha kuingiza hata 7000 kwa siku ili ni changamke nifanikishe lengo langu. Ahsanteni.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaada watu wa Civil Engineering wanaweza kufanya kazi TAZARA

    Habari zenu wadau. Ni hivi nilikuwa nataka kujua kwa mtu aliesomea Civil Engineering anaweza kufanya kazi kwenye Shirika la Reli TAZARA. Msaada wenu tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu nimepatwa na hili janga

    Leo nimeamka asubuhi koo linawasha. Baada ya muda nikaanza kohoa na kukamatwa na mafua makali sana. Binafsi sipendi mafua na kukohoa. Ila napenda sana kupiga chafya. Ikabidi nianze harakati za kupambana na mafua na kikohozi. Nikachukua Tangawizi nikasaga, nikachukua limao nikakamulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…